mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Bajeti yaTanzania 2016 / 2017 inasomwa wakati takribani theluthi moja ya wabunge wako nje ya bunge.
Hali hii hatari sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Bunge linashindwa kabisa kuhimili tofauti za mawazo. Maamuzi ya Bunge si mnada wa hadhara kwenda na anayetoa bei kubwa; ni zaidi ya wingi ama uchache wetu.
Ni juu ya mustakabali wa nchi na utumishi wa umma. Uongozi wa Bunge na Wabunge wote, tafakarini sana utu, uadilifu na uzalendo wenu kwa taifa letu.
Tofauti za mawazo bungeni zinatakiwa kuongeza ubora wa utendaji si kudhoofisha. Mnairefusha mno safari yetu ya nuru njema
Facebook akaunti ya Anna Mgwira.