Anna Makinda: Sijawahi kuolewa ila tunakoenda wanawake watakuwa na nguvu kuliko waume zao

Acha uwongo ndugu, ana mtoto wake ambae baba yake ni rubani hakuwahi kuolewa nae huyu rubani ana familia yake.
Mtoto wa mama Anne ameishi nje asilimia kubwa ya maisha yake, yawezekana unaemsema wewe ni yule aliekuwa anaishi nae muda mrefu na tangu akiwa mdogo anaitwa T huyo ni mtoto wa mdogo wake .
Mama ameongea fact usibishe kwa taarifa za juu juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hmm😩 sawa
 
Mwanamke akiwa na uchumi imara hata hamu ya wanaume hamna ujue wanawake huvumilia wanaume kwa ajili ya shida huko tuendako inabidi wanaume muanzishe taasisi za kuwatetea

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nani alikuumiza kimapenzi maana unaonyesha una povu si la kitoto. nikwambie tu binadamu yeyote akiwa na pesa nyege ndo zinaongezeka ama sivyo atakua na matatizo kisaikolojia
 
Huo ni mpango wa shetani, huyo Anna inabidi afahamu kwmba sikio halizidi kichwa, na sababu za wanawake wengi kutokuolewa ni kutaka kumtawala mwanaume. Ki asili mwanaume ni mtawala, asiwadanganye wenzie kwamba wanaweza kugeuza asili ya mwanadamu.. Kalee tusimpe shetani utukufu!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi naamini single mother mmoja mwenye watoto wawili au zaidi na anawapa mahitaji ya msingi na ziada ni sawa na WANAUME KUMI WA DAR ,waelewa wamenielewa
 
Kati ya mambo ambayo hayatatokea duniani ni pamoja na wananwake kua juu zaidi ya wanaume.MUNGU siyo mzee Jolijo,anatutambua na anajua alituumba vyema sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijasema eti ndoa hamna kabisa ndoa zipo tangia kale had mwisho wa dunia utakavokuwa but the situation has changed much lazima tukubali pia wanawake wengi sikuhizi wana uchumi mkubwa kuliko wanaume, pia wengi wa wanawake walio njema ndoa ni last option anaolewa kutoa gundu anazaa watoto kila mtu na life lake hafu unaweza kuwa ndoa kila mtu chumba chake hyo ni ndoa au jina kufuraisha jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina maswali mawili kwako!

1. Unavifahamu vitabu vya dini yako vema (haijalishi kama wewe ni mkristo, au muislaamu), na unajua vimezungumzia nini juu ya uhusiano wa mume na mke na wewe kama mwanamke unayafahamu majukumu na wajibu wako katika hii dunia kulingana na hivyo vitabu?!

Unadhani siku ya mwisho utakaporejea kwa muumba wako, utamwambia kuwa ulinunua majumba, simu , magari na vinginevyo vya thamani kuwa ndicho kilikuleta duniani?!

Je miongozo ya kidunia ya wanadamu ndio imekuwa muongozo wa dira ya maisha yako badala ya vitabu vitakatifu?!

Ni kitabu gani kimesema uje duniani utafute pesa ushindane na wanaume huku ukit*mbwa hovyo kama mbwa na wanaume tofauti tofauti na wewe ukayaita ni maisha wakati ni laaana hiyo hata mizimu ya bibi na babu zako huko iliko inapatwa na aibu.


2. Je, wewe unahisi kuna uhusiano gani ulipo kati ya kutafuta pesa na mali na ndoa.....

Mapenzi yanahisisha pesa ila pesa si kila kitu katika mapenzi. Wewe tafuta pesa zako ila zisikupe kiburi cha kutaka kumpanda mwanaume kichwani bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata zamani wanawake hawakui wapole ni shida tu na uonevu wa ki jamii ndo ulifanya wanawake wabaki, sasa imagine sasa hivi wanawake wana access na elimu uchumi, ndo mana nyie wanaume sasa mnaona wanawake si wavumilivu kumbe ni hofu yenu tu kuzidiwa na wanawake hampendi kutokana na jamii ilivo walea kua mwanaume kuzidiwa na mwanamke ni kosa.

Ndugu hujui ni jinsi gani wanawake wanateseka kuhusu wanaume had wanajaa makanisani na kwa waganga, ili kunusuru mahusiano na watu wasiojua nafasi zao.

Siku kila mtu akikaa vyema kwenye nafasi yake kuanzia na mwanaume ka kichwa na wanawake watafata hivo hivo, hafu kuna watu hawana usasa na uvumilivu kwao ni zeeeero

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mnateseka na wanaume ambao mliwafuata kwa kutaka.....

Wanaume za watu wenye ndoa zao!

Wanaume ambao mliwafuata sababu wananyoa viduku na kuvaa smart ndio vikawa vigezo na sifa za kuwapa mioyo yenu.

Ni wanaume wangapi waliwataka mkawakataa mkawafuata wale wanaopendezea machoni penu na msijue mioyo yao ipoje....

Acheni mambo yakujiendekeza kulalamika na kulaumu upuuzi ambao kwa 100% nyie ndio wasababishi.

Ujuaji mwingi ndio unawaponza.....hata hapa nikikwambia twende nikakuonyeshe wanawake ambao siku si nyingi wataanza kwenda makanisani kulia lia kunyanyaswa utawaona.....

Twende utawaona ni wanawake ambao hawajitambui nini wanataka wao ni tamaa na vigezo vyao ni vya kiboya sana wanapotafuta mwenza utadhani wanachagua gari au simu dukani....

Acha upuuzi huu bana unatukwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom