joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 15,133
- 31,708
Vipi pia hujisikii kuandika.Leo sijiskii kuandika, maana ningekutoa nock out
Vipi pia hujisikii kuandika.Leo sijiskii kuandika, maana ningekutoa nock out
Si kweli wanao kulia maisha mazuri hawajitambui kabisaaaaaaa!! eti ile hali ya kitajiri waliyomo wao!! wanaona ni shida hasa wanatamani maisha ya kimaskini kwa sababu hawajui kuyaishi.......ndugu nimekulia maisha mazuri ya kulala sehemu nzuri cjawahi shida njaa, mpaka nimekuwa mdada, na siwezi kushindwa kufanya jambo niteseke ati wakati m
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kupata kichekesho kingine kama hiki nibonyeze wapi?Wakina mama waojielewa wakisimama kuelekea malengo na ndoto zao mara nyi hufikia kwa mafanikio makubwa pasina kua na mwanaume nyuma yake.