ANNA MAKINDA; ni spika wa bunge au waziri ndani ya bunge?

ferre.g

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
2,215
327
Nashangazwa sana na utendaji wa huyu mama... Serikali inapigwa swali spika anatoa ufafanuzi wa serikali as if she's a part of gvt.

Tabia hii inaua bunge na kujenga utaratibu wa kipuuzi kabisa wa mabunge kuiwajibisha serikali hasa hizi za kiafrika zenye miwani za Mbao.

Ukweli ananikera sana.
 
Si ndio Yale mambo ya taarabu bungeni. We hujaona Jana upuuzi mkubwa kabisa unazungumzwa na wale vitu maalum Zanzibar Kwamba wa bara Hasa chadema wasizungumzie mambo ya Zanzibar Kwamba hayawahusu na wala hawajatumwa. Makinda, lukuvi na mwanasheria mkuu wanafurahia badala ya kumzuia. Hayo ndogo maccm.
 
Huyu mama alishavurugwa siku nyingi Taasisi anayoiongozi inazidi uwezo wake, utendaji wake ni tiamaji tiamaji na ndio matokeo ya kupachikana kwa kukomoana
 
makinda ana watoto wangapi anaendesha bunge kama family mjinga sanaaaaaaas
 
Back
Top Bottom