Elections 2010 Anna kilango

Join Date: Tuesday Nov 2010, Yaani jana tu.
posts: 2
Thanks: 0,

My take, tembelea sehemu ya utambulisho ujitambulishe kwanza. Matokeo yako kwenye Thread kibao unachosha na kithread chenye kichwa nusu.
 
Khaaa jamani, mbona huyu kinara wa ujasiri alishashinda na tayari yuko website ya Bunge?? Jaribuni kuwa updated maana unaweza uliza swali wakati mwingine ukaonekana kuwa hauko well informed au husomi magazeti mpaka usubiri kusimuliwa!!
 
Back
Top Bottom