Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Mitomingi, kwanza umesema 200m, then unasema "like 200m" whats next? Utasema nilikuwa nina speculate na sijui kiasi chenyewe?
Kutokuwa na source ya figure yako kunaqualify the whole thing kuwa udaku.No research no right to speak.No source no right to speak.
Mitomingi anajenga hoja .kwanza kauliza akanushwe kama habari ni ya udaku na mwafrika wa kike .Then tuje kwenye figure .Mimi napenda kumuunga mkono kwamba ushahidi wa mama kuporwa pesa upo na kusema ametekwa na majambazi Nadhani umesha ona .Sasa swali ni kwamba walijuaje kwamba ana pesa hizi ? Unajua akiporwa laki moja haiwezi kuwa issue kwake .Hadi akapiga kelele naamini mapesa ni mengi.Mimi katika pita pita yangu nilisikia ni 200m.Na hata Mitomingi mnamshambulia bure .Ukisoma bandiko lake kaleta hoja na huku anauliza kama kuna mwenye info ikiwemo na kiasi cha pesa na mazingira ya kuporwa ni yapi .Anataka kujua jamani.