Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,985
- 20,263
Ole Sendeka kasema 'mama malecela alimfuata kwamba akae kimya atapewa hela na kina Maswi'
Nikuhusu wizi wa 200b za bot.
Nikuhusu wizi wa 200b za bot.
Ole Sendeka kasema 'mama malecela alimfuata kwamba akae kimya atapewa hela na kina Maswi'
Nikuhusu wizi wa 200b za bot.
Ndio maana wote ccm ni uzao wa panya. Huyu Sada waziri na naibu wake Mwingulu nilisema waliteuliwa kwa kazi maalum sasa inaanza kuthibitika. Poleni watanzania. Dawa ni kuiondoa ccm madarakani
Tafuta hoja ingine ccm ni majembe kuliko mnavyofikiri, mtabashiri sana lkn mtaangukia pua tuu
Tafuta hoja ingine ccm ni majembe kuliko mnavyofikiri, mtabashiri sana lkn mtaangukia pua tuu
Wanaanza kuumbuana wenyewe kwa wenyewe!! Hawa ni washirika wakuu kwenye kupiga dili- usiniulize source kwani sitakwambia!!

Yafaa sana uungane na Isha Mashauzi na Khadija Kopa uimbe nao taarabu kwa mipasho hii unayoitoa!.
Ya chama chako yanakushinda, unadandia ya CCM.
Kweli ccm ni majembe kwa kukwapua ardhi ya wandengereko ,wazaramo,ns wamatumbi ,fsnyeni kazi mkimaliza Dar,hamieni Lindi,Mtwara na Pwani kupiga dili,Tafuta hoja ingine ccm ni majembe kuliko mnavyofikiri, mtabashiri sana lkn mtaangukia pua tuu
Yafaa sana uungane na Isha Mashauzi na Khadija Kopa uimbe nao taarabu kwa mipasho hii unayoitoa!.
Ya chama chako yanakushinda, unadandia ya CCM.
Kweli ni majembe,kwa kutetea wizi,harafu SFO ,wanabaini wizi na rushwa kutembea kwenye kashfa ya RADA ,walipokaa bunge la uingereza na kuwashitaki washirika wa mpango huo,Tafuta hoja ingine ccm ni majembe kuliko mnavyofikiri, mtabashiri sana lkn mtaangukia pua tuu