Ann Coulter : Waafrika waache kuomba kuomba

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Today conservative media wanakubaliana na Trump .Waafrika waache kulalamika tunawalisha wakae kimya .Tutaendelea Kuwaiti shit country .
 
Source? Japo nakubaliana moja kwa moja na hoja iliyotolewa.
 
Ukita source nenda ulaya ukabebe boksi halafu namba yako wape ndugu, jamaa na marafiki. Utajua kama kweli sisi waafrika tunaomba au laa. Na ukipata kufika huko ulaya fungua account ya Facebook weka picha kila utakachovaa nahakikisha nitakiomba pia. Au ushamsahau yule aliekuwa anatembea na kopo la ombaomba kila akiwia pipa? (Ombaomba wa ikulu)
 
Alisema anapanda pipa kwenda kuhemea ili watoto wapate chakula
 
Back
Top Bottom