Ankara za Makampuni ya umma zinalipwa kwa fedha ya kigeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ankara za Makampuni ya umma zinalipwa kwa fedha ya kigeni?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mwanahisa, Jul 1, 2012.

 1. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Salaam jukwani hapa Uchumi na Biashara!

  Inawezekana kulipia ankara za Makampuni ya nishati na Maji kwa fedha za kigeni? Kampuni hizi ni za umma wa Tanzania.
   
 2. SIMBA mtoto

  SIMBA mtoto JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tanzania kwa sasa hatuna tena sarafu yetu.

  BOT dhaifu ndiyo kiini cha kuporomoka kwa sarafu yetu, na kuifanya sarafu ya Marekani kutumika ndani ya soko la ndani.
   
 3. SIMBA mtoto

  SIMBA mtoto JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
 4. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nashukuru mdau kwa link hii, ila tayari niko kwenye maumivu makali. Muwekezaji wa nnje anatulipisha wazawa bill za Tanesco na Dawasco kwa dollar utafikiri tuko Washngton DC bwana![​IMG]
   
Loading...