Anjelina Jolly & Brad Pitt split?

Fame and Fortune inatuharibia sana mambo.Nawasikitikia watoto waliowa adopt. Itakuwa ni kuwachanganya and sometimes for selfish reasons.
Kweli tunayojenga wanadamu hayajengwi ili yadumu milele.Ni mambo ya kupita tu.
 
Na IVUMAYO HAIDUMU
 
hamna lolote.. ni media tu zinapenda waachane.. wenyewe walikuwa Haiti leo na jana.. .. the media can't wait to declare the split.. on the other hand divorce itoke wapi? hawajafunga ndoa kwani waliapa kuwa as long as gay people can not legally married everywhere in the US na wao hawatafunga ndoa..
 
Ni kweli mkuu. Nimeangalia google naona kama bado wako pamoja. Itakuwa ni yale mambo tunayaita udaku...
 
hamna lolote.. ni media tu zinapenda waachane.. wenyewe walikuwa Haiti leo na jana.. .. the media can't wait to declare the split.. on the other hand divorce itoke wapi? hawajafunga ndoa kwani waliapa kuwa as long as gay people can not legally married everywhere in the US na wao hawatafunga ndoa..

Kwa maana hawa jamaa wanaishi tu!?hawajoana? ni kweli hii MMKJ?

Duh!basi hawa kweli wanaelewana
 
Hakuna suprises especially na celebrities wa ulaya, kitu divorce ni kawaida sana kwao.
 
hawajaoana wana makubaliano tu..

Dah!hii yao safi sana.
Ndio maana wakati fulani kuna mtu alileta hii HOJA ya ndoa (MAKUBALIANO) ya namna hii humu balazani kama mbadala wa ndoa za kawaida.

Yaani hii Taasisi zetu (NDOA) tunazibadili kuwa mfumo wa Limited Companies (LTD) unajua mala chache sana LTD zinavunjika!
 
hamna lolote.. ni media tu zinapenda waachane.. wenyewe walikuwa Haiti leo na jana.. .. the media can't wait to declare the split.. on the other hand divorce itoke wapi? hawajafunga ndoa kwani waliapa kuwa as long as gay people can not legally married everywhere in the US na wao hawatafunga ndoa..

Nilikuwa sijasoma hii.Sasa moyo wangu umetulia..
 
if the forces that drove them to binding is gone, then there is nothing they can do!!! a third party "nanny" will raise the kids under the umbrella of cash... and that how the story goes!!!

very few celebs have culture
 
hamna lolote.. ni media tu zinapenda waachane.. wenyewe walikuwa Haiti leo na jana.. .. the media can't wait to declare the split.. on the other hand divorce itoke wapi? hawajafunga ndoa kwani waliapa kuwa as long as gay people can not legally married everywhere in the US na wao hawatafunga ndoa..

thanks Mwanakijiji i was shocked na hii habari ..
hii couple naipenda mie ..
 
nami pia naomba iwe tetesi; coz naipenda pia hiyo pair and anjelina ndio sana.. but .. god help them kuondoa hako kapepo kama kweli kapo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom