tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,750
- 757
mwenendo na taratibu zilizotumika kukiendesha hichi chama unaonyesha wazi kuwa walijuwa kuwa siku sio nyingi kitaanguka.
1. haiwezekani chama kikatumia pesa nyingi katika uchaguzi wa igunga na arumeru alafu kikashindwa kujitengenezea ofisi zake za kudumu mikoani.
2.haiwezekani zabuni za ununuzi wa vifaa vya chama na kujikopesha pesa ufanywe na watu wakubwa katika chama na wakati wanachama wengine waendelee kupigishwa domo la ukombozi bila kuwezeshwa na chochote.
kwa ujumla kulikuwa na mazingira ya watu wachache kuhomola mapato ya chama kana kwamba walijuwa mapema kwamba hichi sio chama muda mrefu.
kabla ya kuniuliza waliohomola pesa naomba unitangulizie mapato yote ya m4c, ndio na mimi ntakubainishia walihomola.