ANGUKO:viongozi wakuu wa CHADEMA walistuka mapema

tofyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
2,750
757
mwenendo na taratibu zilizotumika kukiendesha hichi chama unaonyesha wazi kuwa walijuwa kuwa siku sio nyingi kitaanguka.
1. haiwezekani chama kikatumia pesa nyingi katika uchaguzi wa igunga na arumeru alafu kikashindwa kujitengenezea ofisi zake za kudumu mikoani.
2.haiwezekani zabuni za ununuzi wa vifaa vya chama na kujikopesha pesa ufanywe na watu wakubwa katika chama na wakati wanachama wengine waendelee kupigishwa domo la ukombozi bila kuwezeshwa na chochote.

kwa ujumla kulikuwa na mazingira ya watu wachache kuhomola mapato ya chama kana kwamba walijuwa mapema kwamba hichi sio chama muda mrefu.
kabla ya kuniuliza waliohomola pesa naomba unitangulizie mapato yote ya m4c, ndio na mimi ntakubainishia walihomola.
 
ha ha ha noma sana hii ndio Tz.. Watu hawawez kuhubir siasa bure. Wako sahihi bana kuhomola hzo mahela
 
mwenendo na taratibu zilizotumika kukiendesha hichi chama unaonyesha wazi kuwa walijuwa kuwa siku sio nyingi kitaanguka.
1. haiwezekani chama kikatumia pesa nyingi katika uchaguzi wa igunga na arumeru alafu kikashindwa kujitengenezea ofisi zake za kudumu mikoani.
2.haiwezekani zabuni za ununuzi wa vifaa vya chama na kujikopesha pesa ufanywe na watu wakubwa katika chama na wakati wanachama wengine waendelee kupigishwa domo la ukombozi bila kuwezeshwa na chochote.

kwa ujumla kulikuwa na mazingira ya watu wachache kuhomola mapato ya chama kana kwamba walijuwa mapema kwamba hichi sio chama muda mrefu.
kabla ya kuniuliza waliohomola pesa naomba unitangulizie mapato yote ya m4c, ndio na mimi ntakubainishia walihomola.

[h=1]Topic: Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui[/h]
[h=2]View Poll Results: Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; unayaafiki?[/h] Voters226.

[h=3]This poll will close on 7th December 2013 at 13:06[/h]
  • Sahihi

    191 84.51%

  • Kosa

    32 14.16%

  • Sijui

    3 1.33%
 
mwenendo na taratibu zilizotumika kukiendesha hichi chama unaonyesha wazi kuwa walijuwa kuwa siku sio nyingi kitaanguka.
1. haiwezekani chama kikatumia pesa nyingi katika uchaguzi wa igunga na arumeru alafu kikashindwa kujitengenezea ofisi zake za kudumu mikoani.
2.haiwezekani zabuni za ununuzi wa vifaa vya chama na kujikopesha pesa ufanywe na watu wakubwa katika chama na wakati wanachama wengine waendelee kupigishwa domo la ukombozi bila kuwezeshwa na chochote.

kwa ujumla kulikuwa na mazingira ya watu wachache kuhomola mapato ya chama kana kwamba walijuwa mapema kwamba hichi sio chama muda mrefu.
kabla ya kuniuliza waliohomola pesa naomba unitangulizie mapato yote ya m4c, ndio na mimi ntakubainishia walihomola.

Unongea kama umekula Unga ? CCM Tanzania mbona maeneo haina ofisi na nafuu yao ni kwamba wana serikali ndiyo kinacho wapa nafuu .Je Chadema kama haita anguka utakuja na kusemaje tena ?
 
Unaongea kama hujielewi vile au unanjaa,, nenda pale lumumba muone nape atakupa bahasha yako
 
mwenendo na taratibu zilizotumika kukiendesha hichi chama unaonyesha wazi kuwa walijuwa kuwa siku sio nyingi kitaanguka.
1. haiwezekani chama kikatumia pesa nyingi katika uchaguzi wa igunga na arumeru alafu kikashindwa kujitengenezea ofisi zake za kudumu mikoani.
2.haiwezekani zabuni za ununuzi wa vifaa vya chama na kujikopesha pesa ufanywe na watu wakubwa katika chama na wakati wanachama wengine waendelee kupigishwa domo la ukombozi bila kuwezeshwa na chochote.

kwa ujumla kulikuwa na mazingira ya watu wachache kuhomola mapato ya chama kana kwamba walijuwa mapema kwamba hichi sio chama muda mrefu.
kabla ya kuniuliza waliohomola pesa naomba unitangulizie mapato yote ya m4c, ndio na mimi ntakubainishia walihomola.

Lumumba wanawawezesha kwa kitu gani? hizo buk 7? au kofia,tshirt na wali? nyambafu sana!
 
Heri CDM wale pesa maana ni watanzania wenzetu kuliko Wachina na wazungu walioletwa na Serikali ya CCM.
 
Hayo ni matokeo ya wanywa viroba vs wanywa mbege kaskazini.

Usituletee mawazo yako choka na viroba kichwani.

kaweke ya kwako mbona, mbona ukweli huwa haujifichi? kapige kura nyinyi si mafundi wa kupotosha......

[h=1]Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui[/h] [h=2]View Poll Results: Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; unayaafiki?[/h] Voters231. by 1915hrs mambo yanaendelea.

[h=3]This poll will close on 7th December 2013 at 13:06[/h]
  • Sahihi

    196 84.85%
  • Kosa

    32 13.85%
  • Sijui

    3 1.30%
 
kama hizo poll mngefanyia kwenye ofisi zenu za kudumu mikoani na kwengineko ingekuwa bora.
lakini wajanja wamesha jiwahi. kwa hiyo mmebaki jf mtapatapa.
 
Unongea kama umekula Unga ? CCM Tanzania mbona maeneo haina ofisi na nafuu yao ni kwamba wana serikali ndiyo kinacho wapa nafuu .Je Chadema kama haita anguka utakuja na kusemaje tena ?

Wewe unaonekana umelewa uchadema sebuleni maana chumbani wapo kina mtei
 
Back
Top Bottom