Anguko la Rais Magufuli litakuwa na mshindo mkubwa sana

Kwa mtazamo wangu ni kwamba, JPM ni mwanasiasa mwerevu sana.

Anachokipigania kwa ajili ya nchi yake ni uhakika wa ukuaji wa uchumi na kuiondoa nchi kutoka dimbwi la umaskini.

Anaishi kwa vitendo hasa ahadi anazotoa anatimiza. Lazima na ni kweli wapo maadui wa ndani na nje ya CCM. Maadui hao ndiyo wale majizi na mafisadi waliotufikisha kwenye pembe ya shimo la ufukara na uchumi wa hovyo.

Naweka shilingi yangu kwa JPM kuwa atarudi madarakani kwa kishindo na safari hii mazuri yatazidi uzuri
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja wakuzingire
 
Magufuli aanguke? Una maana gani? Aangushwe na kina nani kwanza? Labda aangushwe na wasio waTZ wasiojua TZ ilikuwa wapi na leo tuko wapi. Yaani mTZ anayeona standard gauge railway, revived TRC na ATC, ufanisi bandarini na TRA heshima ya mwananchi anapokwenda ofisi yoyote serikalini eti ndio afikirie kuanguka kwa Magufuli????. Tafuta kingine kuleta JF.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi hadhithi za Alfu lela ulela na Esopo zimejengwa vichwani mwenu hadi mmekuwa kama aliyekula limbwata kwenye biriani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujifariji huko, siku vyama vya upinzani vikiacha unbinafsi, undumilakuwili na kuangalia maslahi ya chama na siyo matumbo basi tutaona mabadiliko, until then hilo ni dua la kuku tu..
 
Watu wapige kura au wasipige, wasusie uchaguzi au washiriki, nnachokuhakikishia sisiemu itashinda kwa 90%. Tutaacha upinzani wa mitandaoni ila kwenye reality mtabanwa mpaka mta.... Na atakayeleta choko choko atakiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.

Inasemwa kwamba ramli ikipigwa huenda ikarudi ikiwa yule anaekusudiwa amejipanga.

Inaporudi huwa ina kishindo kikubwa.
 
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.

Mnaongea sana. JPM yupo tu. Hayo ya kukubalika unasema wewe. Ulishamsikia anaongea. Yupo Kazini Nyie waimba taarabu endeleeni tu. Mnajulikana. Mtu mwenye kazi hawezi andika uzi wa kijinga Hivi. Negativity na kujifariji kijinga Ni ugonjwa katibiwe.
 
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.
Umeongea kama Tarik Aziz (Chemical Alli) alivyokuwa akitishia nyau kipindi cha vita ya Marekani na Iraq kumbe kajificha shimoni.
 
Kauchaguzi ka mwaka huu ni kama hakana mzuka sana, inavyoonekana katapita kimya kimya
 
Back
Top Bottom