Anguko la Rais Magufuli litakuwa na mshindo mkubwa sana

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya system ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.
 
Tech, wapinzani wasisubiri hilo, wadai tume huru ya uchaguzi! Hili ni muhimu. Wakifanya kama uchguzi wa serikali za mitaa unafanyaje? maana bado atakuwa na madaraka pamoja na kuvunja bunge!
Mie nawaambia wapinzani wasikubali kuwaza yale CCM wanataka wawaze, ni kukomaa tuu na Tume huru ya uchaguzi na sio kuwaza mengine.
Kilichopo ni msimamo wa wazi KUANZIA SASA kuwa hakuna Tume huru hakuna uchaguzi.
Full stop!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom