technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.
Sio ndani ya vyombo vya usalama,
Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?
Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?
Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya system ya nchi.
Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.