Anguko la Rais Magufuli litakuwa na mshindo mkubwa sana

Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.
Ngoma umepiga wewe, gitaa wewe, kuimba wewe, na kucheza wewe mwenyewe! Du !
 
Njia mbadala ya kumuokoa na anguko itatumika kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa.
 
Hata wakurya sio majasiri ni watu wenye ubabe usio na faida. Mtu wa mwisho kuwa jasiri katika ardhi ya nchi hii ni Chifu Mkwawa, baada ya hapo tumebakia sisi waoga tu.
Personal outlook! Huwezi kuwa na ubabe kama wewe siyo jasiri!
 
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.

Uchambuzi mzuri, maana hawa wanaCCM wanaogopa vitu viwili yaani CCM mpya itakayowatosa na ushawishi wa CHADEMA.

CCM kupasua vipande vipande 2020
Mbunge wa CCM hana uhakika kama CCM chini ya kina Polepole itawarudisha kugombea kwa tiketi ya CCM na hapo hapo wanaogopa nguvu ya umma ya CHADEMA.

CCM MPYA haina Kamati Kuu, Halmashauri Kuu wala Mkutano Mkuu ambapo mawazo ya wajumbe yanasikiliza au Mwenyekiti wa CCM kupewa ushauri, wao wajumbe wamekuwa mateka wa watu wachache ndani ya chama. Hakuna kutoa wazo wao ni kupokea maagizo na barua, hivyo wabunge wengi wa CCM wamekuwa kama watoto mayatima wasio na uhakika kama wamo ktk listi ya Mwenyekiti au Katibu Mkuu au Katibu uenezi kupendekezwa kugombea. Maana wabunge wa CCM hawana sauti ni kama wageni ndani ya CCM MPYA. Bora hata wale walionunuliwa kina Mwita Waitara wanasikilizwa na kupewa vyeo kabla ya wale aliowakuta chamani.

Sikiliza huyu Mzee wa CCM iliyopita anayejitayarisha kugombea kule Bunda, Musoma anavyoiogopa CHADEMA huku pia moyoni hana uhakika na CCM mpya ya awamu ya tano:

CHADEMA LAZIMA TUITAJE TAJE - Wasira
 
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.
Asubuhi nilimweleza tindo utoto wa nyuzi hizi, nadhani alinifahamu. Hii makala nitakubaliana nayo iwapo wewe unampigia kampeni Magufuli! Kama ni Chadema basi utakuwa na matatizo kichwani kwani unampigia kampeni JPM bila kujielewa
 
Chief-Mkwawa huyu huyu aliyekua anakamata watu wasio wa kabila lake na kuwauza kama watumwa kwa waarabu?
Hata wakurya sio majasiri ni watu wenye ubabe usio na faida. Mtu wa mwisho kuwa jasiri katika ardhi ya nchi hii ni Chifu Mkwawa, baada ya hapo tumebakia sisi waoga tu.

dodge
 
January 15, 2020
Bunda Mara,
Tanzania

Tayari mzee Wasira kwa woga ameanza kampeni huko Bunda, mkoani Mara kupitia kitu kinaitwa taasisi ya The Steven Wasira Foundation. Lakini pia amekua mwoga wa CCM Mpya na hajui kama itamteua kugombea. Hivyo CCM bunge likivunjwa tutegemee wagombea wao wa CCM 'watakanyagana' na 'kukengeuka' kukabiliana na maadui wao wa kisiasa kambi ya CCM Mpya upande mmoja na upinzani wa nguvu toka CHADEMA.
 
Uchambuzi mzuri, maana hawa wanaCCM wanaogopa vitu viwili yaani CCM mpya itakayowatosa na ushawishi wa CHADEMA.

Mbunge wa CCM hana uhakika kama CCM chini ya kina Polepole itawarudisha kugombea kwa tiketi ya CCM na hapo hapo wanaogopa nguvu ya umma ya CHADEMA.

Sikiliza huyu Mzee wa CCM iliyopita anayejitayarisha kugombea kule Bunda, Musoma anavyoiogopa CHADEMA huku pia moyoni hana uhakika na CCM mpya ya awamu ya tano:

CHADEMA LAZIMA TUITAJE TAJE - Wasira

anaiogopa CDM
 
Tech, wapinzani wasisubiri hilo, wadai tume huru ya uchaguzi! Hili ni muhimu. Wakifanya kama uchguzi wa serikali za mitaa unafanyaje? maana bado atakuwa na madaraka pamoja na kuvunja bunge!
Akithubutu kuhudia uhuni walioufanya kwenye chaguzi za TAMISEMI ndo atajua kwa hakika watanzania si wajinga. Wacha athubutu aone.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.
Hizi ni ndoto za Alinacha. Mpaka wewe umejua unadhani bado ni mkakati?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom