a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,388
- 1,327
Usimuonee CAG peke yake. Wasomi, Wastaafu, CCM, Upinzani, Viongozi wa Dini mpo.Hili nalo neno, nakubaliana nawe ingawa haliondoi ukweli kuwa shaka imetendeka wakati wa Mzalendo JPM. CAG anaweza kutusaidia zaidi kujua 1.5T na 70 B ilikuwaje wakati huo!
Unachelewa kuelewaNashukuru umeelewa pesa 1.5T au 70 B haziwezi kufungwa katika mabunda.
Nikusaidie kuelewa zaidi, kwamba, pesa zinazochukuliwa kinyume na utaratibu haziachi 'trails' .
Pesa haziibiwi ili zikakae kwenye acc... Pesa zinaonekana kwenye life style za wezi.Kufungua account kutaacha trail katika transaction hivyo usitegemee kuiona acc
Bilions tu tuliweza kuziona inakuwaje kwenye mambo mengi.... Vituo vya mafuta, hotels, estates, migodi, mashamba, nk...
KWANINI TUSIONE HAYO KWA 1.5 T?
Punguza Kasumba ya Duniani sijui, Wazungu, nk... Jenga Fikra huru.Ni kwa msingi huo wapo wanahoji pesa zilizopitia Ikulu kwa kuelewa hakuna audit
Kuhusu acc ninachosema ni kuwa hatuwezi kuzifikia ni account za watu au taasisi
Ndio maana CAG wapo duniani, ni watalaam si kila Tom, Dick anbd Harry ni CAG
Kwenye Kiswahili chochote kinachofanyika hapo ni UJENZI.Hapana hapa kuwa na utulivu unielewe. Construction, renovation , maintanance ni vitu tofauti na gharama zake zina vary pia.
Unajilishsha upepo.Hapa kuna mahesabu kidogo nisingependa kukuumiza kichwa chako
Hakuna lugha yenye mapungufu. Lugha zote hujitosheleza.Mapungufu katika kiswahili hayabadili maana yake kama ilivyokusudiwa
Construction, renovation , maintanance.
Huo nao ni ushauri pia.Hapa sina ushauri zaidi ya kukutaka ufikiri katika umbali kidogo na ule wa pua, nina uhakika unaweza ! try. Anza na mita michache , km n.k.
JK inaweza kuwa Jakaya Kikwete, zingatia.Yes Nyerere alifanya (construction) , AH Mwinyi akafanya ukarabati (maintanance)
Haya mambo ukiyasikia ghafla yanachanganya, kidogo kidogo nina uhakika utaelewa
Sasa kwanini umeshikilia kauli hakujenga! SISI TUMERIDHISHWA NA MATUMIZI YA KODI ZETU kwa kiasi kikubwa kuliko awamu nyingi nyuma. Hatujawahi kuona matumizi makubwa ya kodi kama ya awamu ya tano.Eeeh hapa ndipo hoja ilipo na ndio maana tunauliza 1.5T , 70 B na mauza uza tunayoyaona
Waziri Mkuu Majaliwa katueleza 'pesa zilivyotumika MSD' .
Of course kisicho na majibu kunazua ''chuki''.
Hili linatufanya tujiulize, Je, waliopita walizitumia wapi nyingi?
Una shida kubwa mahali. Ninakukumbusha tena, MGR NI TOFAUTI NA SGR. MGR imekarabatiwa.Well done! sasa unanena!
SGR imeanza tangu tuta.
Rudi Tz uone kilichopo.
Unaongeza kitu kwa kitu kilichopo tayari. Sasa tuambie added values za SGR zimeongezwa kwenye nini?Added value katika SGR ipo, ni haraka na mzigo mkubwa kuliko mita reli.
Naji kasema nimetaka mkataba. Nimesema hatujapewa mkataba, Ila shaka Yetu ipo bado kutokana na nyendo zenu.What? nawe unataka mkataba. Hivi si wewe uliyesema haya ''Kumbuka Mimi sio muumini wa Formalities za ajabuajabu''
Lakini pia nimesema "za ajabuajabu" hope unatambua kuwa zipo ambazo si za ajabu ajabu.
Natambua pia kuwa si kila mkataba unaweza kuwekwa wazi, ninatambua pia kuwa si kila mtz anaweza kuelewa kilichomo katika mkataba.
Yangetokea hayo Tungehoji tu, wala tusingesubiri CAG.Yes! watu wachote pesa tu ilimradi tuna ufanisi. Kwa mfano,tununue mfuko mmoja wa sementi 500,000 hakuna tatizo ilimradi tu daraja likamilike.
Miradi inafanyika ndani ya jamii, sio hewani. HATUJAWAHI KUTILIA SHAKA KUBWA HIVYO, na ni kwa sababu thamani ya miradi inajionesha wazi.
Punguza skipping ya hoja. Naona umeonea aibu suala la Korosho.
SGR na MGR nilikueleza vema kuwa ni Two different lines zinazo run alongside, bado unaleta vioja hapa.