a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,388
- 1,327
Nirudie mara ngapi kukuambia mimi si miongoni mwa hao waliokuzuia kumsema marehemu? Kwanza umezuiliwa lini na nani? Au unajipika lawama tu?Soma hapo chini bandiko lako , na rudi bandiko 21 pia
Hapana hakuna mtu anayetaka kuchafua ukuu wake. Tunachosema hapa hatukubali ''collective imbecilisation'' tukiambiwa '' Marehemu hasemwi'' wakati huo huo tunahubiriwa uongo wa makubwa aliyofanya ambayo si makubwa ni marudio tu ya kawaida
Mfano ni wewe kueleza kuhusu Wami, wakati hakuna alichofanya zaidi ya kusimamia mradi wa JK
Kutetea kauli yake ya kuwasema watu wa kaskazini wakati ulikuwa ni kauli ya ajabu sana ya Rais wa nchi yoyote kuitoa! orodha inaendelea
Tunataka rekodi ya JPM isiishie flyover ya Tazara, twende kwenye rekodi yake ya haki za binadamu, kujali usalama wa raia, mahusiano ya kitaifa aliyobomoa na leo tunaongelea kanda ya kaskazini, mahusiano ya kimataifa n.k.
Hatuwezi kuficha rekodi katika mwamvuli wa '' Marehemu hasemwi'' halafu tunahubiriwa uongo
Hapa ndipo mjadala ulipo, kwamba, tuonyeshe basi nje ya urasimu Magufuli alifanya nini tofauti?
Hakuna jibu! hamkuweza kuonyesha hata kimoja
Ni Wami IPI hiyo iliyoanza na Jk? Unaishi wapi wewe, mbona kama unaishi kwa kusomuliwasimuliwa tu? Yaani hata kutafakari daraja la mtoni tu linajengwaje miaka 8 umeshindwa? Tanzanite limekamilika halafu la 2014 Lowe bado!
Embu tuambie wewe juu ya hayo ya Uhusiano wa Kimataifa na Umoja wa Kitaifa. Ameharibu UPI na kwa namna gani!?
Juu ya Haki na Demokrasia, mimi kwangu huo ni upuuzi kusikia unatetewa. Sitaujadili.
Juu ya UTU nikishakufundisha Utu ni nini, rudia kusoma kisha tafakari nyendo za Magufuli katika hilo.