Anguko la Manchester United bila kunyang'anywa ufalme

Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
9,654
34,304
Naliona anguko kubwa la Man Utd lakin hakuna alieweza kutunyang'anya ufalme wetu kwenye ligi ya epl Bado sisi ni wafalme wa uingereza.

Tangu timu inunuliwe na glazers family imepotea kabisa Hawa wamarecan wamekuja kuiangusha united, wamekuja kuyavuna matunda ya united iliyopandwa kwa miaka mingi na huwenda wakaicha united kwenye hali mbaya ya ukame, Hawa jamaa kwa Sasa wameigeuza manutd sehem wa kuwaingizia pesa mifukon kwao na wala siyo kuwekeza kwaajili ya kuleta furaha kwa mashabiki, sioni manutd tukiwa tishio tena kwa miaka ya hivi karibuni.

Wapinzani wanafurahia mateso ya manutd kwakua united ndo mfalme wa epl, wanataman aendelee kuanguka ili wampore ufalme wake lakn siyo rahisi kwakua united iliutengeneza ufalme kwa muda mrefu, timu kama Chelsea na mancity wenye epl 6 Ni lini wataufikia ufalme wa manutd yenye epl 20? Siyo rahisi laki manutd tunahitaji mabadiliko Hawa wamarekan bila kuondoka tutaendelea kupoteza heshima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom