Anguko la Mahanga kwenye NEC ni ushahidi tosha

watenda

Member
Mar 31, 2011
73
13
Milton Makongoro Mahanga alipata anguko kali katika kinyang'anyiro cha NEC wilaya ya Ilala. Anguko hili limekuja miaka miwili baada ya ushindi uliojaa utata wa ubunge katika jimbo la Segerea. Kwa anguko hili, Mahanga amedhihirisha kwamba hakubaliki wilayani kwao na kuna kila dalili kwamba hata ubunge alichakachua na isingekuwa mahakama zetu uchwara, bwana huyu angekuwa keshang'olewa na sasa anashinda sebuleni kwa Lowassa kumuimbia nyimbo anapouguza jicho lake.
 
Jamaa chaguzi zote amekuwa akishinda kwa fedha toka mwaka 2000 alipowaburuta Mzee Rupia na Marehemu Dito. Lakini kwa hakika watu wamemchoka tena maeneo yetu ya Tabata Mawenzi ndiyo kabisaaa!
 
Milton Makongoro Mahanga alipata anguko kali katika kinyang'anyiro cha NEC wilaya ya Ilala. Anguko hili limekuja miaka miwili baada ya ushindi uliojaa utata wa ubunge katika jimbo la Segerea. Kwa anguko hili, Mahanga amedhihirisha kwamba hakubaliki wilayani kwao na kuna kila dalili kwamba hata ubunge alichakachua na isingekuwa mahakama zetu uchwara, bwana huyu angekuwa keshang'olewa na sasa anashinda sebuleni kwa Lowassa kumuimbia nyimbo anapouguza jicho lake.

hehehehehe dah umenichekesha sana!!
 
Hivi jamaa ile kesi yake dhidi ya Kainerugaba Msemakweli imeshia wapi? Si alijifanya kufungua kesi ya madai ya kashfa kuhusiana na Phd yake feki? Hivi mwanaume kama yile unapolamba mwanaume mwenzio viatu si ni kudhlailisha mke na familia yako kwa ujumla?
 
Jamaa alikuwa na makesi kibao ya kudhulumu fedha za watu. Keshamalizana nao baada ya kupata fedha za ufisadi?
 
Milton Makongoro Mahanga alipata anguko kali katika kinyang'anyiro cha NEC wilaya ya Ilala. Anguko hili limekuja miaka miwili baada ya ushindi uliojaa utata wa ubunge katika jimbo la Segerea. Kwa anguko hili, Mahanga amedhihirisha kwamba hakubaliki wilayani kwao na kuna kila dalili kwamba hata ubunge alichakachua na isingekuwa mahakama zetu uchwara, bwana huyu angekuwa keshang'olewa na sasa anashinda sebuleni kwa Lowassa kumuimbia nyimbo anapouguza jicho lake.

Alikuwa na matumaini makubwa ya kuwa waziri toka enzi za Mkapa lakini hakupata na ninafikiri sasa anajuta kuacha kazi yenye mafao ya uhakika kwa tamaa ya cheo cha kisiasa. Yeye na Serukamba huwakosi kwa mshua, utadhani ni house boys.
 
Kibaka mkubwa yule hana lolote kikwete sijui alitumia vigezo gani kumchagua huyu mbulula
 
Huyu Makongoro Mahanga hakupita kihalali kabisa. Ukitaka kujua baadhi ya vitu vilivyo mponza nenda Swiss Pub nyakati za usiku akisharudi Dodoma. Tabia yake imemfanya hadi Dereva wake akatae mkataba baada ya kustaafu kuendelea kumwendesha. Wake za watu ndiyo basi tena nadhani kuna siku atapanda treni kama la Temeke.
 
Hivi sisi wakazi wa Segerea tulikosa kabisa mtu hadi tukamrudisha huyu hayawani kuwa Mbunge wetu? Unajua mbunge anaakisi jamii anayoiwakilisha. Sasa sisi wanSEGEREA ni KAUZU kama huyu Mpuuzi?
 
Back
Top Bottom