Anguko la Facebook liko karibu

Mpaka sasa hivi ni baba lao, Azure inakuwa triple digit percentage sijui mwaka wa ngapi huu, na Google na Microsoft hata sio wapinzani kwenye main Business zao, mpinzani wa Google mkubwa ni Facebook, na Microsoft mpinzani Mkubwa ni Amazon na Apple/Linux kwa mbali.
Mkuu unaonaje tellegram na signal ipi bora kkwako
 
Mkuu unaonaje tellegram na signal ipi bora kkwako
bora kwa nini mkuu? ni app mbili tofauti zenye malengo tofauti, sijawahi kutumia signal ila ninavyoisoma inajali zaidi privacy, telegram yenyewe ni jack of all trades kuna vitu kibao ndani mpaka ngono, inategemea unatafuta nini.
 
Ila mkumbuke Telegram na Signal ni enjoys na hazimilkiwa na makampuni yoyote
 
bora kwa nini mkuu? ni app mbili tofauti zenye malengo tofauti, sijawahi kutumia signal ila ninavyoisoma inajali zaidi privacy, telegram yenyewe ni jack of all trades kuna vitu kibao ndani mpaka ngono, inategemea unatafuta nini.
Thanks broo naipenda sana telegram napenda jua hata udhaifu wake mkuu
 
Mi naona umesema hivi huenda kwasababu ya hali ya tz, kwa hapa tz insta inapamba moto ila kwa nchi nyingine mfano zambia, afrika kusini, mozambique, wanatumia sana fb, sanaaa
 
Back
Top Bottom