Anguko kubwa la ccm-nachingwea

sandefs

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
264
32
Wakazi wa kata ya stesheni wilayani nachingwea wametapa kuibwaga ccm kwenye uchaguzi utakao fanyika tarehe 16th june, 2013.

Ccm inahaha kumnusuru mathias chikawe ambaye stesheni ni nyumbani kwake ambapo yeye ni mmoja wa wapiga kura wa ccm.

Katika harakati za uchaguzi ziznazoendelea wilayani changwea zinazoendeshwa na makamanda wa chadema na kunfanya mathias chikawe kushindwa kulala usiku kucha akikuna kichwa mpaka sasa cmm wamepoteza matumaini ya kushinda katika kata ya stesheni.vijana wanatambua njama na hila zinazofanywa na ccm za kununua shahada ya kura na kuwanunua mawakala wa chadema, na kwamba vijana hawa kwa misingi ya kukabiliana na waziri wa sheria na katiba wa tanzania pamoja na mabilioni yake yote hawata msikiliza na watahakikisha ccm hawapati muda wa kuiba shahada ama kunua au kuwarubuni makamanda.

Peoplessssss poweeeeer!!!!!
 
Halafu matokeo yakitoka CCM "imewapiga chini" mnakimbilia kujifariji na asilimia mlizozipata.

Pro CHADEMA mambo yenu ni kama mtu aliyechanganyikiwa.
 
Halafu matokeo yakitoka CCM "imewapiga chini" mnakimbilia kujifariji na asilimia mlizozipata.

Pro CHADEMA mambo yenu ni kama mtu aliyechanganyikiwa.

Sumu upo habari ya cku zako. Maliberali wenzako hawajambo? Leo tembo wangapi wamedondoka?
 
Watu wa kusini mna nafasi kubwa sasa kuonesha namna mnavyotaka kuondokana na ccm nafasi ni hii
 
halafu matokeo yakitoka ccm "imewapiga chini" mnakimbilia kujifariji na asilimia mlizozipata.

Pro chadema mambo yenu ni kama mtu aliyechanganyikiwa.
kama mwigulu na lusinde sio?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom