Angola Seizes Deadly Arms and Rockets Belonging to Kenya Army---US STATE DEPARTMENT CONFIRMS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angola Seizes Deadly Arms and Rockets Belonging to Kenya Army---US STATE DEPARTMENT CONFIRMS

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by kayundi2, Mar 16, 2011.

 1. k

  kayundi2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Among the seized weapons includes Rockets,Surface to air Missiles,Anti-Aircraft Guns etc
  ....................................................................................
  A ship carrying military weapons belonging to Kenya is still being held in Angola, the US revealed on Tuesday.

  A statement from the US State Department did not, however, give details on why the Angolan Government was still holding the ship, Maersk Constellation, even after it had furnished them with details of its cargo.

  “Our primary concern is for the safety and well-being of the crew, including the 20 US citizens on the Maersk Constellation. The status of the personnel on the Maersk Constellation is unclear, and we are actively seeking clarification from Angolan authorities,” the statement said.

  The US expressed concerns over the delay, saying it could affect perishable items for humanitarian programmes in Mozambique, Malawi and Rwanda. The ship is carrying about 15 million kilos of maize, soy and beans.

  “US Embassy officials are in Lobito, Angola, to meet with the 20 US citizens on the ship and provide consular services as needed. This is the embassy team’s third visit to the ship,” the statement said.

  Last week, Mr Kevin Speers of Maersk Line Ltd attributed the delay to the four containers of ammunition.

  “We have been engaged with the Angolan authorities to clarify the status of the American crewmen since the beginning of this incident on February 28, and will continue to do so,” he said.

  On Monday, Defence minister Yusuf Haji said the arms belonged to Kenya and the government did not disclose the cargo deliberately while it was still in the high seas.

  On Tuesday, Department of Defence spokesman Bogita Ongeri refused to give a detailed statement because Kenya had not taken charge of the cargo.

  Discrepancies

  The shipping line said on Monday that State Department officials had discussed the delays with Angolan officials.

  “The meeting was a positive step toward allowing the vessel to continue on its voyage. The Angolan officials shared their concerns regarding perceived discrepancies in the ship’s documentation of four containers of ammunition and stated that they intend to resolve the matter through an administrative procedure against Maersk Line Limited,” the firm said in a statement.

  It added that Angola was awaiting more documents from Kenya.

  “Once the administrative process and the requested declaration from the Kenyan Government are complete, the release of the ship will be forthcoming.

  “Maersk Line Ltd is looking forward to finalising the process to release the crew, vessel and cargo. We will remain fully engaged and will continue to work with Angolan authorities and United States government officials until the ship is under way.”  Daily Nation: - News |US, Angola clash over Kenya arms
   
 2. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  isije kuwa zinakwenda south sudan-maana Kenya ndo wanabeba lawama za mizigo kama hio hata kama si zao
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Habari za uhakika ni kuwa Marekani wanafadhili mipango ya vurugu Angola kama inavyotokea Libya. Wao ndio wanatoa resources zote kwa maana silaha na vinavyoendana navyo. Waangola wakimbizi walioko Canada (wapatao 10,000) ndiyo baadhi wamesharudi kuanzisha vurugu kwa logistics za Brasil. Kenya ndiye wakala wa utekelezaji wa mpango huo Africa kwa visingizo vya silaha ndani ya meli ya misaada.

  Marekani wanataka kusimamia rasilmali za Angola hasa mafuta. Kenya inapata uungwaji mkono wa Marekani katika mipango ya kufanikisha uchumi wake katika soko la Africa ya Mashariki. Kwa misingi kuwa viongozi wengi wa Africa ya Mashariki ni vibaraka wa Marekani.

  Tahadhali. Angola uongozi haugombewi katiba yao ni kwamba unakipigia kura Chama si mtu. Chama kinachoshinda ndicho kinamteua Rais. Kuwa kiongozi kakaa madarakani muda mrefu ni kweli lakini ni shauri la chama si la mtu.

  Hizi vurugu ili mradi zimebainika tusubiri chinja chinja ya kimya kimya mbaya kuliko ya Libya ambayo itaimarisha utawala wa sasa kwa sababu ya aina ya katiba yao ya sasa na kwamba rasilmali nyingi zinatumika kuijenga nchi.
   
 4. H

  Hute JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,057
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa na silaha ningewapa wa sudan kusini, kwasababu al bashir anampango wa kuipindua ile selikali kabla ya July mwaka huu, kabla hawajaanza kujitegemea.
   
 5. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  This reminds me of Mv Farina which had 33 T-72 Russian-made tanks from Ukraine, as well as other assorted weapons including anti-aircraft guns and rocket-propelled grenades.

  The Kenyan Government and Military continuously claimed that the weapons were for the Kenyan military, but when that lethal cargo was eventually off-loaded, it were sent to its true destination, Southern Sudan.
   
 6. P

  Percival JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Hii inadhihirisha unafiki na undumila kuwiili wa Amerika. Hawa watu hata siku moja hawawezi kufanya la kheri kwa Waafrika. Wanaleta silaha Afrika watu wapate kuuwana na ndani ya meli hiyo hiyo kuna magunia ya mahindi na maharage !!

  Waamerika wameleta maafa mengi barani Afrika kwa kusaidia tawala dhalimu za kibaguzi za Afrika, vita vya Angola, kumtia Mobutu madarakani na kumuuwa Lumumba - list refu sana ya maovu ya hawa wauwaji.

  Wanawapa Kenya silaha za kupigia ndege , je ni kupiga ndege za nchi gani ?
   
 7. T

  Tata JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,731
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni la waafrika wenyewe wanaotafuta silaha kuwaua ndugu zao. Usitegemee waamerika wakuhurumie kwani wao sio ndugu za waafrika wanachotafuta ni peza kutokana na biashara zao za silaha.
   
Loading...