Aisee!! Kama mimi ni kilaza mbona huyo Genius wako kaishi kutoa viroja tu kwa maswali niliyomuuliza?!Tuna vilaza na mamluki wengi sana humu. Vumilia tu mkuu
Btw, na wewe si Genius; au?! How come, pamoja na u-Genius wako bado hujajibu maswali niliyokuuliza ambayo ni mepesi kabisa?!