AngloGold Seeks Tanzania Talks to Break Impasse on Mine Laws

Hii nchi ilijengwa kwa gharama kubwa mpaka kufikia hapa tulipo ila leo anajitokeza mpuuzi mmoja tu anakuja na mambo ya kijijini kwao anafanya kua ndo mambo ya kitaifa na tunamwangalia tu eti...
Nchi imeibiwa wewe unasema imejenwa
 
Huju kitu na nikushauri ukae kimya. Soma sheria No 5, 6 na 7 (2017) kisha fanya observation (kama unaweza) kujua what has changed in the Tanzania mining regime, and the level of compliance by mining companies kisha rudi hapa useme ulichokiona. Katika mazungumzo na BG Tanzania haikuwa ina-negotiate pesa (short term) bali long term overarching reforms kwenye mining policy/fiscal regime. Na hii ndio maana unaona GGM wanakuwa restless kwa sababu they want to negotiate their safe entry into the current mining regime. Acha akili za kichuuzi, nchi haoingozwi kwa fikra za aina hiyo.

Tuna vilaza na mamluki wengi sana humu. Vumilia tu mkuu
 
Sisi wavuvi tunasemaga mapatano nchi kavu bahari kazi ni moja tu kuvua Samaki ! Kwa wale wanaojua kiingereza wanasemaga” You can’t change the rules when the game is on” kwa wenye kujua sheria huwa hairudi nyuma” a new enactment should take stock on the situation on the ground! Baada ya Mikataba ya zamani kuisha au if are renewable that is when the new laws can catch up and not otherwise. Haya majambo aliyasemaga learned brother Tundu Antipas Lisu and he was brutally gunned using 38 bullets and he is by miracle still alive. Sasa waungwana hao washauri wa JPM can’t they using common sense which is not very common amongst them kwamba they by purpose are intent to go north but they are heading south ! Hii kitu mbaya hata almasi waliyokamata pale DIA ( JKNIA) hivi watauza wapi? Wana ngosha karibisheni watu wenye akili kwenye team JPM vinginevyo sijui?
Usikariri mkuu zama zimebadilika
sio kila homa ni malaria
 
  • Thanks
Reactions: Oii
AngloGold Seeks Tanzania Talks to Break Impasse on Mine Laws
  • CEO says he’s waiting for Tanzania to set date for talks
  • AngloGold may sell some mines if the price is right, CEO says
AngloGold Ashanti Ltd. is seeking talks with the Tanzanian government to break a deadlock over changes to mining laws that the firm has said it will challenge through arbitration.

blob:https://www.bloomberg.com/e0d56b81-5ecb-456e-b090-3e285b8d339d

“We have reached out to the government for negotiations,” Chief Executive Officer Srinivasan Venkatakrishnan said in an interview with Bloomberg Television at a Bank of Montreal mining and metals conference in Florida. “We are agreeing the logistics on when we meet with the government.”





Mute
Current Time2:09
/
Duration Time4:15
Loaded: 0%




Progress: 0%

AngloGold CEO Says He's Seeking Talks With Tanzanian Government




AngloGold Ashanti Ltd. CEO Venkatakrishnan speaks to Bloomberg.


Last year, Tanzania approved laws that enable it to renegotiate contracts with mining companies as well as other measures such as higher royalty payments. AngloGold, which plans to extend the life of its Geita mine in the country, has since lodged an appeal with the United Nations Commission on International Trade Law to have a mine development agreement it signed with Tanzania in 1999 upheld.



The Johannesburg-based company supports Tanzania’s attempts to improve citizens’ living standards and root out corruption, Venkatakrishnan said. The government has been in a year-long fightwith another producer, Acacia Mining Plc, after placing a ban on mineral concentrate exports and saying that firm under-reported the value of its shipments.



Other Mines

Serikali inafanya vema sana kutetea rasmali zetu na kulinda tusipoteze zaidi. ILA kudeal na Mabepari wenye uchumi wa dunia inahitaji akili ya ziada sana. Sio jamabo la kukurupuka na kufanya maamuzi...hawa jamaa kabla ya kuja kuwekeza huwa wanafanya tafakuri kubwa sana...naweza sema huwa wana models ambazo huwa wanazitest na kurudia kuzitest au wana hypotheses ambazo hujaribiwa hadi faida ionekana ipo...hivyo nchi za ulimwengu wa tatu nazo zinapaswa kufanya mahesabu mazito na muhimu kukabiliana na hao watu...kwa kutumia think tanks zetu nchini na hata nje ya nchi (maana wapo weupe wenye elimu wanaopinga dhuluma za mabepari hawa).
 
Hebu wasome kwanza Financial Times kisha nijuze ikiwa you really believe una uelewa wa kutosha! Au nikupe source nyingine?! Can you do that instead to support your argument?!
FT? story? No! Retrieve the story and paste it here for everybody, even the non-subscribers to read.
 
Aidha, nikahoji rationale iliyotumika kwenye kukomalia makinikia ili hali gold smelting at the site and gold export ikiwa bado inaendelea kama kawaida hata na hao Acacia!
Soma TEITI reports zote utajua rationale.
 
Ikiwa mahali nilipoandika Barrick Gold akili zako zilikuaminisha nimeandika Acacia halafu bado umaamini nawe ni miongoni mwa Wajuvi?

Very funny!

Nimekuambia ni Brad Gordon ndie alibadilisha from African Barrick to Acacia nawe ukabisha na kutaja eti ni Wanahisa ndio walifanya mabadiliko hayo!!

Hebu wasome kwanza Financial Times kisha nijuze ikiwa you really believe una uelewa wa kutosha! Au nikupe source nyingine?! Can you do that instead to support your argument?!

Funny enough unaniletea sheria iliyopitishwa bungeni! Hizo sheria zipo miaka nenda rudi!!

Nimekuuliza kuhusu TZS 490 Trillions na Kishika Uchumba cha USD 300M!

Tuanzie hapo kwanza!

Aidha, nikahoji rationale iliyotumika kwenye kukomalia makinikia ili hali gold smelting at the site and gold export ikiwa bado inaendelea kama kawaida hata na hao Acacia!

Jibu na hilo badala ya kuniletea sheria ambazo nchi hii zimekuwepo tangia uhuru!
Pole ndugu, tunajua mawakala wa ma- compradore mmeumizwa sana na mabadiliko ya sera za madini nchini.
 
Nina uhakika na nilichoandika na kwahiyo ningeshauri wewe ndie upitie kumbukumbu zako!

That's one, two hakuna popote niliposema Acacia wana property Australia! Nilichosema ni Barrick Gold na sio Acacia!

Crosscheck nilichoandika cuz' hapa napo nina uhakika na nilichoandika!
Sawa, nimekuelewa ila ninakushauri pia usome hapa. Since Initial Public Offer (IPO) launch in March2010, ABG has only operated in Tanzania where it owns and operates four LargeScale Gold Mining (LSGM) projects in the names of Bulyanhulu Gold Mine Limited, North Mara Gold Mine Limited and Pangea Minerals operating Tulawaka and Buzwagi goldmine projects. Barrick Gold bought Bulyanhulu Gold Mine and North Mara Gold Mine from Placerdome of Vancouver Canada 8 years ago. Barrick Gold is also aCanadian Company. All ABG goldmine projects are in the Lake Victoria zone; the regions of Shinyanga, Kagera and Mara
 
FT? story? No! Retrieve the story and paste it here for everybody, even the non-subscribers to read.
Acha longo longo, nimekupa option ya kuweka source ya ku-support madai yako!

In short umeshindwa kwa sababu hujui unachoongea, or else, weka hapa kama nilivyofanya mimi!
 
Anglogold walegeze mitazayo yao zama za kujipangia mnofu wa kula zimepita.Serikali ya China kupitia kampuni yake Shandong gold, wanaingia pahala pa Acacia.Wapo tayari kufuata win win terms,sheria mpya. Hivyo Aglogold wakisusa wengine wala.Pia si busara kwa kampuni kubwa vile kusimia mikataba ya kinyonyaji iliyoingiwa kwa mifumo ya rushwa,ili hali wao wakijinasibu kuwa na sera bora za kampuni kuzuia vitendo vya rushwa.
 
Sawa, nimekuelewa ila ninakushauri pia usome hapa. Since Initial Public Offer (IPO) launch in March2010, ABG has only operated in Tanzania where it owns and operates four LargeScale Gold Mining (LSGM) projects in the names of Bulyanhulu Gold Mine Limited, North Mara Gold Mine Limited and Pangea Minerals operating Tulawaka and Buzwagi goldmine projects. Barrick Gold bought Bulyanhulu Gold Mine and North Mara Gold Mine from Placerdome of Vancouver Canada 8 years ago. Barrick Gold is also aCanadian Company. All ABG goldmine projects are in the Lake Victoria zone; the regions of Shinyanga, Kagera and Mara
This has nothing to do with what we've argued!

Anyway, but I can understand! I know you Sophist kupitia hapa JF... in short huwa hutaki kukubali kwamba umeshindwa and above is just a genius way of admitting kwamba umechemsha and all what's left ni kuzuga kwa kuweka irrelevant information!!
 
Hii nchi ilijengwa kwa gharama kubwa mpaka kufikia hapa tulipo ila leo anajitokeza mpuuzi mmoja tu anakuja na mambo ya kijijini kwao anafanya kua ndo mambo ya kitaifa na tunamwangalia tu eti...
its normal when one comes from a grilling election to win the post of presidency, he oughts to think his the smartest in the land wengine wote hawana akili, but with time he gets to realize wenye akiki zaidi yake wapo ila sio marais
 
Pole ndugu, tunajua mawakala wa ma- compradore mmeumizwa sana na mabadiliko ya sera za madini nchini.
Bwah!! Bwah! Kwahiyo baada ya kupiga sana bongo ndo ukaishia kuja na jibu jepesi namna hi!!

Anyway, I know this's not Sophist na inapofikia kutoa hoja nyepesi namna hii ni kwamba kapigwa kabali hadi amekata pumzi na kuishia kutoa majibu mepesi!
 
Nimeamini kwamba hujui kuwa hujui.

Kampuni ilipropose mabadiliko ya jina (Kwa msingi huu ujue sasa incharge wa kubadili jina ni nani) kisha shareholders wakapiga kura za kukubali au kutokubali, in this context kampuni ni Management, Management ni Executive Leadership Team, Executive Leadership Team inaongozwa na CEO. Wakati mabadiliko hayo yanapendekezwa CEO wa ABG alikuwa nani?

Hapo ndipo kwenye mantiki ya chige kukwambia ni nani alibadili jina la ABG kwenda jina jipya.
Sema wewe; tukisema wengine tunaambiwa vibaraka!
 
Back
Top Bottom