AngloGold Seeks Tanzania Talks to Break Impasse on Mine Laws

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318
AngloGold Seeks Tanzania Talks to Break Impasse on Mine Laws
  • CEO says he’s waiting for Tanzania to set date for talks
  • AngloGold may sell some mines if the price is right, CEO says
AngloGold Ashanti Ltd. is seeking talks with the Tanzanian government to break a deadlock over changes to mining laws that the firm has said it will challenge through arbitration.

blob:https://www.bloomberg.com/e0d56b81-5ecb-456e-b090-3e285b8d339d

“We have reached out to the government for negotiations,” Chief Executive Officer Srinivasan Venkatakrishnan said in an interview with Bloomberg Television at a Bank of Montreal mining and metals conference in Florida. “We are agreeing the logistics on when we meet with the government.”

Mute
Current Time2:09
/
Duration Time4:15
Loaded: 0%

Progress: 0%

AngloGold CEO Says He's Seeking Talks With Tanzanian Government

AngloGold Ashanti Ltd. CEO Venkatakrishnan speaks to Bloomberg.

Last year, Tanzania approved laws that enable it to renegotiate contracts with mining companies as well as other measures such as higher royalty payments. AngloGold, which plans to extend the life of its Geita mine in the country, has since lodged an appeal with the United Nations Commission on International Trade Law to have a mine development agreement it signed with Tanzania in 1999 upheld.

The Johannesburg-based company supports Tanzania’s attempts to improve citizens’ living standards and root out corruption, Venkatakrishnan said. The government has been in a year-long fightwith another producer, Acacia Mining Plc, after placing a ban on mineral concentrate exports and saying that firm under-reported the value of its shipments.

Other Mines
 
Kabudi sijui mijicho itamtokaje kwenye international arbitration
Sijui huko kuna mtu atakuwa na muda wa kusikiliza lectures zake
 
Mitaji toka nje itasuasua sana kipindi hiki, watu hawana uhakika na usalama wa uwekezaji wao. Tunarudi nyuma sana kwa akili ya mtu mmoja ambaye kwa bahati mbaya amekuwa hapo alipo.
 
Mnabadili sheria katikati ya mikataba tena bila kuwashiriki sijui mnatarajia nini kama sio kuiingiza nchi katika matatizo.

Mtakula viburi vyenu maana watu wakiwashauri mnawaona si wazalendo bali wasaliti.

Tukitaa mazungumzo na wakaamua kutushitaki alafu wakashinda kesi wao wakamate hayo mandege yakienda huko Ulaya au Marekani kwa ajili ya service/matengenezo.

Waacheni tunyooshwe tu mpaka tukome.
 
Hivi kuna anayeweza kuniambia what's behind Acacia and government saga?!

Kwangu mimi haiingii akilini kwamba, miongoni mwa kampuni zote za madini nchi hii ni Acacia peke yake ndio wezi wakati Mawazari, Makatibu Wakuu wa Wizara ni wale wale! Makamishna wa madini ni wale wale! TMAA ni wale wale!!

Hivi ni nani alimwaminisha JPM kwamba wizi unafanyika kwenye makinikia peke yake?!
 
..hawa watu wametuibia.

..sasa kwanini tunazungumza nao badala ya kuwaburuza mahakamani?
 
Uchangiaji umejaa mirengo,weledi hakuna kabisa.
nyie na wapinzani mmelia miaka mingi kwamba tunaibiwa kwenye madini,serikali ifanye marekekebisho imefanya mnahamisha goal.
Acha waende duniani kuna makampuni mengi sana ya madini,watakuja watakao kubaliana na sera zetu
 
Hivi kuna anayeweza kuniambia what's behind Acacia and government saga?!

Kwangu mimi haiingii akilini kwamba, miongoni mwa kampuni zote za madini nchi hii ni Acacia peke yake ndio wezi wakati Mawazari, Makatibu Wakuu wa Wizara ni wale wale! Makamishna wa madini ni wale wale! TMAA ni wale wale!!

Hivi ni nani alimwaminisha JPM kwamba wizi unafanyika kwenye makinikia peke yake?!
Za chini ya kapeti bwana Kenyatta ana hisa nyingi Acacia, ndio maana hiyo kampuni ilikuwa na kiburi cha kuropoka mwanzoni, vilevile Acacia ndio kampuni inayo ongoza kwa kusafirisha makinikia.
 
Hivi kuna anayeweza kuniambia what's behind Acacia and government saga?!

Kwangu mimi haiingii akilini kwamba, miongoni mwa kampuni zote za madini nchi hii ni Acacia peke yake ndio wezi wakati Mawazari, Makatibu Wakuu wa Wizara ni wale wale! Makamishna wa madini ni wale wale! TMAA ni wale wale!!

Hivi ni nani alimwaminisha JPM kwamba wizi unafanyika kwenye makinikia peke yake?!

Wachina wanaitaka hii migodi waendelee kutukopesha huoni Barrick wameshaelekea kibla wameanza mazungumzo na shadong Gold na kampuni ingine ya kichina wawauzie hisa zao za Accacia.
 
Back
Top Bottom