AngloGold kuiburuza Tanzania mahakama ya UN kutokana na sheria mpya ya madini

Inakusaidia nin wewe kumshabikia mzungu, tetea nchi yako mtanzania, haijalishi chama gani kinaongoza nchi, hii bado ni nchi yako tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
Hapa siyo suala la kumshabikia mzungu ni suala la ukweli na uhalisia. Hata siku moja siwezi kushabikia ujinga kama wale ambao hawana lolote walijualo kuhusiana na madini.

Watanzania tushabikie uelewa na siyo kushabikia ujinga hata kama ujinga huo unafanywa na Baba yako.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hao wez warasilimali zetu hata waende wapi tutashinda tu, tumuunge mkono Rais Magufuli

Post sent using JamiiForums mobile app
Unga mkono uelewa/weledi. Usiunge mkono ujinga, hata kama ujinga huo unafanywa na mzazi wako.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tumejaa ushabiki wa kijinga sana

Post sent using JamiiForums mobile app
Tena ujinga wenye madhara makubwa kwa Taifa. Hata kama huna uelewa unapo-deal na mwenye uelewa, ukiweza kopa uelewa hata kwa watu wengine ili unapoongea na mwenye uelewa angalao aone anaongea na mtu mwenye uelewa juu ya jambo mnalolijadili.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hao wez warasilimali zetu hata waende wapi tutashinda tu, tumuunge mkono Rais Magufuli

Post sent using JamiiForums mobile app
Unamuungaje mkono wakati ndie alieshiriki kuruhusu mikataba inayotutesa

Sent from my itel it1409 using JamiiForums mobile app
 
LISSU kajitolea katukanwa,sasa ngoja tuone hao vifaru wa Lumumba.Hapa hawaji hata kwa bunduki
Acha uongo wewe, tangu hatua za Rais kuzuia makontena yenye makinikia, Lissu hajawahi kutoa ushauri kwa Serikali, alichoweza sana tena kwa kujitapa ni kulaumu Serikali kuwa, yeye aliwahi kulalamikia masuala ya mikataba miaka ya 1990s lakini hakusikilizwa. Halafu tena kwa kujitapa anadai "MTAPIGWA." Sijui akina nani hao watakaopigwa? Au anadhani Serikali ikishindwa CCM ndiyo itapigwa ni wote akiwemo na yeye.
 
Tusiseme wasomi wetu hawajui. Mimi ni mmojawapo wa wataalam katika sekta hii. Ninajivunia maarifa yangu. Nimefanya kazi hata katika mataifa mengine kwa weledi ambao hauna shaka.

Madini hayachimbwi na kila mtu hata katika mataifa yaliyoendelea. Dunia nzima, kokote utakakoenda utawakuta Anglo American, Barrick, Newmont, Kinross, BHP, n.k. Utafutaji na uchimbaji madini una risk kubwa sana. Ni makampuni yenye mitaji mikubwa sana na yenye mtandao mpana wa biashara ya madini ndiyo pekee yanayoweza kufanya uchimbaji madini kwa faida ya uhakika. Wao wanaweza kupoteza dola 100m Tanzania lakini wakawa wamepata faida ya dola 500m America Kusini na Asia.

Kama serikali ya Tanzania inadhani biashara ya madini ni yenye faida kubwa, iingie kwenye sekta hiyo, ili ione.

Mwalimu Nyerere hakuwa mchumi lakini alijua kuwa uchimbaji madini ni pata potea. Alianzisha viwanda vya nguo, magodoo, kutengeneza baiskeli, maturubai, sabuni, mafuta, bia, sigara, mabati, majiko, kuunganisha magari na matrekta, lakini hakuthubutu kuanzisha mgodi baada ya kujaribu kuanzisha mgodi wa dhahabu wa Buckreef na kisha kuishia kwenye hasara kubwa. Serikali ya Ghana iliwekeza kiasi kikubwa kwenye madini ikiwaaingiza wabia kama kampuni kubwa ya Lonro lakini mwishoni walinyosha mikono. Tanzania nchi ya ajabu, haitaki kujifunza kutokana na makosa ya wengine, inataka ipite njia ile ile iliyoyapeleka mataifa mengine katika kushindwa.

Leo baada ya miaka mingi, Watanzania wanaonekana wana uelewa mdogo kuliko hata utawala wa Mwalimu.

Haya ya Acacia na Anglo ambayo ni makampuni yenye migodi, baada ya Rais kusaini mabadiliko ya sheria ya madini, tutashuhudia Tanzania iliyo free from foreign mining investors in mine development and exploration. A powerful reverse gear in mining sector! Stay tuned.
unachoongea mkuu mimi nakielewa vizuri sana. kwani mimi pia ni mtaaramu wa mambo ya madini but toka nihitimu nimejaribu kujikita katika small scale. kiukweri hata kama ukipewa eneo bure hata usilipe ushuru kuikimbia kazi hii ni virahisi sana. i feel the pain ninapoona watu wasioijua hii kazi wanalopoka kwa kujiita wao wazalendo hivyo hatutaki kuibiwa. natafakari sana japo hata kamati ya kwanza ya mruma ingejaribu hata kidogo kueleza garama zilizotumika kuzalisha hiyo gold iliyopo kwenye makinikia. yaani kutoka kwenye grade ya 9 or 8g/tonn hadi kupata gold tani 7 wanazonzungumuzia. i am sure you can get crazy how complex kazi ilivyo hadi kukuiona hicho. but tunashagilia as if madini yanaenda kuchotwa kama maji. kweriiii inasikitisha sana
 
k
K

Mkuu hapo pagumu
Itabidi uandike wote wa Lumumba pamoja na SIZONJE ndio wamehusika kutuingiza mkenge kwa mikelele yao ya NDIOOOOOOOOOO
mikataba ikapita kwa uzombi wao
kama huna hizo basi usiwaite watu wezi. kama masamaki katushinda ambaye alikuwa na ndoo za pesa ndani leo tutayaweza ya makinikia?
 
Ingekuwa Mali yako ungepataje 2% tu katika mzigo wote wanaobeba

Sent from my itel it1409 using JamiiForums mobile app
mkuu mzigo hauendi kubebwa kama maji baharini. jiulize kwanza the cost of production ndiyo useme tunaibiwa au laa
 
Au un hii mikataba ambayo sio equitable inairuhusu. Waende tu nasi tutatoa duku duku zetu kwenye integrity ya baadhi ya nchi zinazowatuma wawekezaji kuwa waje watunyonye.
umewahi kuchunguza mikataba ya mataifa mengine ukagundua sisi tunaibiwa kupitia mikataba?
 
Hiyo sheria mpya ni ikoje? Kwa nini watupeleke mahakamani kwa mali yetu wakati kama tulivyoamua kuwapa na pia tunaweza amua kuwanyang'anya?
Dodou?. mikataba hiyo ndiyo ilisababisha wawekeze mitaji yao. na kama tungekataa wasingewekeza. tabia za kigeugeu na hasa mtu anapowekeza sehemu frani na kuona yeye anafaidi sana hii huwa ya masikini. na leo naomba nikwambie mtu yeyote unaeona analalamika tu kila wakati hasa kwenye kujinasua na umasikini ujue huyo hajapevuka kitafutaji. hii naamanisha watanzania kukaa tunalialia kuonesha kuwa kunamataifa yanatunyanyasa na ndiyo yanatusababishia umasiki hii ni dalili ya kuwa hatujitambui
 
umewahi kuchunguza mikataba ya mataifa mengine ukagundua sisi tunaibiwa kupitia mikataba?
So hii mikataba IPO Poa tu. Why confidential?. Why kubadili sheria iwe shida kwao. Mzee kwa nini mnashindwa kuwabana kwa mikataba iliyopo kuwa wamekiuka ?! Tujifunze Botswana na kwingineko. They are very smart wanatutawala kwa akili sana hawa mabepari. Mind you wakienda un wanaenda na mikataba kuwa sisi ndio tumekiuka.
 
unaijua sheria ya madini ya botswana?. unajua wanafaidika na madini yao kwa njia ipi?.unapaswa ujue hayo ndiyo uchukulie botswana kama your reference plz. mkuu sijui unanielewa?. kama unanielewa naomba uniambia royalty(mrahaba) wa botswana ni kiasi gani?. pia niambia botswana huwa wanapataje hiyo 50%/50% migodini hasa ya diamondi
 
Niambie Mi sijui. Nachojua kuwa hatujachukua advantage ya kusuply services migodini.ila mkuu tuache unafiki hivi 4% ni sawa. Hivi INA maana hatuna ujanja wa kuraise equity japo 20% tukamiliki. Hivi ukiwa na shamba huna uwezo kulima waweza kumkodisha mtu alime then akupe 4%. Sema wao wameshika mpini ila hii issue ingeleta problem hata London stock exchange.
 
bo

botswana mrahaba 5%. wao wanautalatibu wa kununua hisa. sisi tupotupo tu. hata sehemu ambapo tunaweza kuchimba wenyewe tunashindwa. sasa tatizo liko wapi? kwa wawekezaji au sisi?. kufatilia mapato yetu npia hatuwezi. tumelogwa na nani? issu ya makinikia ukichunguza vizuri ni uzembe wetu sisi wenyewe wa kufatiria.
 
Kumbe tupo kitabu kimoja pg tofauti. Why can't we form investment vehicle by gvt ikajenga mahusiano na development bank ikawa inafanya uwekezaji on our behalf. Ama tuwatengeneze matajiti wetu waende nje wakawekeze.
 
Waende tu haina maana madini yetu tuliyopewa na Mungu wafaidi wazungu tu!

Ni kwasababu ya upuuzi wa viongozi wa Chama Cha Makiinikia(CCM)!
Kama wangelifuata u2shauri wa Baba wa Taifa kuwa madini hayaozi tusingelifika hapa leo!!!!
 
Mimi ningeanza na waliosaini mikataba mibovu kwani chanzo cha yote Ni mikataba iliohubikwa na mafumbo ya Sio na Maslahi kwa Nchi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nashanga hata kwa ule mgogoro wa ziwa Nyasa na Malawi, tunajua sana kung'ang'ania madini ambayo mwishowe hayaleti faida kwa taifa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom