Anglo-zanzibar war

kimpe

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
911
861
Pamoja na kwamba tumefundishwa historia kwa mda mrefu na kufundishwa mengi yahusiyo historia ya nchi hii lakini mbona hatujawah fundishwa vita hii ya kihistoria ambayo ndo vita fupi zaidi kupiganwa duniani wataalam wa mambo kuna ttz gn kulifaham hili en.wikipedia.org/../Anglo-Zanzibar_War

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nae mohd said ukute ndo anackia leo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hapakua na chakujisifia ndomana. Tunayosomeshwa ni yale ambayo yanaonekanwa kuwa na maslahi Na CCM tu.
 
Back
Top Bottom