Angelina Jolie: 'Sina furaha kwa kukosa mpenzi, nahisi upweke''

What goes around comes around, wewe Angelina ulimchukua Brad Pitt kutoka kwa Jenifer wakati mwenyewe Jenifer akiwa bado anampenda mumewe. Man eater wewe ukipata upendo wa kuchemsha mr and mrs Smith na Brad mengine Talawa historia. Sasa uuone uchungu aliyopata Jenifer baada ya kuachwa na mume.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana...
 
Pale ambapo unalichoka doldo na ukaona MUNGU kumbe anamaana kuweka misuli mizito chini ya kitovu cha mwanaume
 
Hakika uzi umepata wachangiaji....naona vijana wamewakwa na munkari bila ya kutafakari.........


2ebbeb19b2ebf805ff4cb0c9f1cf714b.jpg
 
SEMA MAHUSIANO YANA SIRI KIBAO,NI KAMA TULIVYOKUWA TUNASIFIA COUPLE YA JIDE NA GADNA KUWA COUPLE BORA KUMBE KUVUMILIANA KWINGI
 
Back
Top Bottom