Angelikuwa ni Mh. G Lema amepanda jukwaani na bastola!!

Memo

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
2,157
760
Wakuu...angelikuwa ni kamanda Lema amefanya aliyoyafanya Rage.....
1) angekuwa yupo segerea saa hizi
2) Shimbo wa jwtz angekuwa ametoa tamko, huku vifaru vichakavu vya jwtz vikitoa moshi kwa nyuma yake.
3) yule waziri mwenye ndugu zake kule Mahale national park angekuwa ameshatukana kwenye vyombo vyote vya habari
4) ngongo wa jf arusha angekuwa ameanzisha thread zaidi ya 10
5) jamaa zetu wasio na uvumilivu...ms, rejao na the like wangekuwa wanahamasisha viroboto wenzao kupinga kuvunjwa kwa amani
6) wale jamaa zetu wapendao ubwabwa na posho, wangekuwa wameshatoa tamko kali.

...........endeleza list hiyo mwenyewe!
 
Angenyea debe!
Na ndio maana ye chama tawala.
Mbona watu wagumu kuelewa
 
Hawawezi kumfanya lolote huyo Aden Rage wanatamba kwamba dola na sheria iko mikononi mwao ndo maana wanajifanya kuwa walinzi Wa kampeni kwa bastola wako huru hata kama watamchunguza ni kuridhisha tu watu kwamba kuna hatua ilichukuliwa lakini angekuwa Wa upinzani saa hizi angekuwa lupango Tabora na sio Igunga.
 
Wakuu...angelikuwa ni kamanda Lema amefanya aliyoyafanya Rage.....
1) angekuwa yupo segerea saa hizi
2) Shimbo wa jwtz angekuwa ametoa tamko, huku vifaru vichakavu vya jwtz vikitoa moshi kwa nyuma yake.
3) yule waziri mwenye ndugu zake kule Mahale national park angekuwa ameshatukana kwenye vyombo vyote vya habari
4) ngongo wa jf arusha angekuwa ameanzisha thread zaidi ya 10
5) jamaa zetu wasio na uvumilivu...ms, rejao na the like wangekuwa wanahamasisha viroboto wenzao kupinga kuvunjwa kwa amani
6) wale jamaa zetu wapendao ubwabwa na posho, wangekuwa wameshatoa tamko kali.

...........endeleza list hiyo mwenyewe!
Yani wangemvunja kiuno palepale jukwaani.
 
Ishu ya Jeri Muro kumiliki pingu aliamiwa atoe risiti. Lakini mpaka sasa ivi rage hajaambiwa.
 
mkuu Memo uliyoyasema ni kweli kabisa ingawa wakati nasoma nimecheka sana...
 
Wakuu...angelikuwa ni kamanda Lema amefanya aliyoyafanya Rage.....
1) angekuwa yupo segerea saa hizi
2) Shimbo wa jwtz angekuwa ametoa tamko, huku vifaru vichakavu vya jwtz vikitoa moshi kwa nyuma yake.
3) yule waziri mwenye ndugu zake kule Mahale national park angekuwa ameshatukana kwenye vyombo vyote vya habari
4) ngongo wa jf arusha angekuwa ameanzisha thread zaidi ya 10
5) jamaa zetu wasio na uvumilivu...ms, rejao na the like wangekuwa wanahamasisha viroboto wenzao kupinga kuvunjwa kwa amani
6) wale jamaa zetu wapendao ubwabwa na posho, wangekuwa wameshatoa tamko kali.

...........endeleza list hiyo mwenyewe!

Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.
 
hiyo historia imeandikwa mahakama ipi Tanzania?
 
Mkuu umenikausha mbavu kwa kweli..
Sina picha ya Mwema na mahakama zetu, mixer dhamana wangemnyima
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.
Hali ni tete kijana endelea kujidanganya tu.
 
Wakuu...angelikuwa ni kamanda Lema amefanya aliyoyafanya Rage.....
1) angekuwa yupo segerea saa hizi
2) Shimbo wa jwtz angekuwa ametoa tamko, huku vifaru vichakavu vya jwtz vikitoa moshi kwa nyuma yake.
3) yule waziri mwenye ndugu zake kule Mahale national park angekuwa ameshatukana kwenye vyombo vyote vya habari
4) ngongo wa jf arusha angekuwa ameanzisha thread zaidi ya 10
5) jamaa zetu wasio na uvumilivu...ms, rejao na the like wangekuwa wanahamasisha viroboto wenzao kupinga kuvunjwa kwa amani
6) wale jamaa zetu wapendao ubwabwa na posho, wangekuwa wameshatoa tamko kali.

...........endeleza list hiyo mwenyewe!
Nadhani hata chadema ingefutwa usajili
Lema angeuawa
 
Hawawezi kumfanya lolote huyo Aden Rage wanatamba kwamba dola na sheria iko mikononi mwao ndo maana wanajifanya kuwa walinzi Wa kampeni kwa bastola wako huru hata kama watamchunguza ni kuridhisha tu watu kwamba kuna hatua ilichukuliwa lakini angekuwa Wa upinzani saa hizi angekuwa lupango Tabora na sio Igunga.

Rage ana rekodi ya uhalifu. Alishawahi kufungwa na akanyea debe segerea
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom