Angelikuwa ni Mh. G Lema amepanda jukwaani na bastola!!

Lugha nyepesi Rage hakuwa na nia mbaya ila alitaka ajulikana kuwa nae anamiliki silaha kimsingi ni kutokana na ushamba tu na si vinginevyo
 
Lugha nyepesi Rage hakuwa na nia mbaya ila alitaka ajulikane kuwa nae anamiliki silaha kimsingi ni kutokana na ushamba tu na si vinginevyo
 
sio mjusi, ni kenge
kwa hiyo Rage ni mjusi uliogoma kutoka gamba??
spacer.gif
 
godbless lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.

na hakuwahi kuzikana hizi tuhuma nadhani
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.

Mwita25 alias Philanderer zingatia haya;
  • Lema hajawahi kukamatwa kwa uhalifu kama Rage.
  • Lema hajawahi kushtakiwa kwa wizi kama Rage.
  • Lema hajawahi kuhukumiwa kunyea debe kama Rage.
  • Lema hajawahi kuwa kitoweo keko kama Rage.
Tofauti kubwa kati ya hawa wawili ni hizi;
  • Lema ni mbunge wa Chadema, Rage ni mbunge wa CCM.
  • Lema anatetea maslahi ya taifa, Rage anatetea tumbo lake.
  • Lema anapinga dhuluma na ufisadi, Rage ni tapeli na mwizi.
  • Lema anapigania haki na usawa, Rage anatetea unyanyasaji.
Kwa kifupi Lema na Rage ni kama mwanga na giza na wewe Mwita25 a.k.a Philanderer umeamua kuishi gizani !
 
Waambie hao, Mmasai kumkuta na sime,rungu,kisu ni kawaida. lakini vitu hivyo ukimkuta navyo kibaka wa Mbagala ni lazima ujiulize kama si kumpeleka polisi.

Lile li Jambazi Rage kajibu kuwa eti mbona masai wanatembea na sime hadharani hawaulizwi! kweli ukiwa mwanachama wa ccm uwezo wa kufikiri unapotea kabisa!
 
Wakuu...angelikuwa ni kamanda Lema amefanya aliyoyafanya Rage.....
1) angekuwa yupo segerea saa hizi
2) Shimbo wa jwtz angekuwa ametoa tamko, huku vifaru vichakavu vya jwtz vikitoa moshi kwa nyuma yake.
3) yule waziri mwenye ndugu zake kule Mahale national park angekuwa ameshatukana kwenye vyombo vyote vya habari
4) ngongo wa jf arusha angekuwa ameanzisha thread zaidi ya 10
5) jamaa zetu wasio na uvumilivu...ms, rejao na the like wangekuwa wanahamasisha viroboto wenzao kupinga kuvunjwa kwa amani
6) wale jamaa zetu wapendao ubwabwa na posho, wangekuwa wameshatoa tamko kali.

...........endeleza list hiyo mwenyewe!
Lema ni Kamanda?
 
Mwita25 alias Philanderer zingatia haya;
  • Lema hajawahi kukamatwa kwa uhalifu kama Rage.
  • Lema hajawahi kushtakiwa kwa wizi kama Rage.
  • Lema hajawahi kuhukumiwa kunyea debe kama Rage.
  • Lema hajawahi kuwa kitoweo keko kama Rage.
Tofauti kubwa kati ya hawa wawili ni hizi;
  • Lema ni mbunge wa Chadema, Rage ni mbunge wa CCM.
  • Lema anatetea maslahi ya taifa, Rage anatetea tumbo lake.
  • Lema anapinga dhuluma na ufisadi, Rage ni tapeli na mwizi.
  • Lema anapigania haki na usawa, Rage anatetea unyanyasaji.
Kwa kifupi Lema na Rage ni kama mwanga na giza na wewe Mwita25 a.k.a Philanderer umeamua kuishi gizani !
umedhihirisha kabisa kwamba baadhi ya Vyama vya siasa vina wapenzi/washabiki wendawazimu na hivyo kuhofia hata uwezo wa vyama hivyo. Maneno kama "KUNYEA DEBE", "KUWA KITOWEO " umuhimu wake katika mada hii ni nini? Wewe Lema unamfahamu vizuri kweli? Kakak ama kweli usilolijua ni kama usiku wa giza. Nenda kakae vijiwe vya Arusha upate habari zake viziuri.
 
Tafuta data vizuri... hayo yote niliyoyawekea red tayari yameshamtokea Lema
 
umedhihirisha kabisa kwamba baadhi ya Vyama vya siasa vina wapenzi/washabiki wendawazimu na hivyo kuhofia hata uwezo wa vyama hivyo. Maneno kama "KUNYEA DEBE", "KUWA KITOWEO " umuhimu wake katika mada hii ni nini? Wewe Lema unamfahamu vizuri kweli? Kakak ama kweli usilolijua ni kama usiku wa giza. Nenda kakae vijiwe vya Arusha upate habari zake viziuri.
Mkuu, kwa hiyo nikitaka kujua habari za Lema, niende nikakae kwenye Vijiwe vya Arusha, kwa wahuni.

Nashukuru mkuu kwa kutufahamisha taanza ni Vijiwe vya pale Sakina na Unga Limited
 
Mwita25 alias Philanderer zingatia haya;
  • Lema hajawahi kukamatwa kwa uhalifu kama Rage.
  • Lema hajawahi kushtakiwa kwa wizi kama Rage.
  • Lema hajawahi kuhukumiwa kunyea debe kama Rage.
  • Lema hajawahi kuwa kitoweo keko kama Rage.
Tofauti kubwa kati ya hawa wawili ni hizi;
  • Lema ni mbunge wa Chadema, Rage ni mbunge wa CCM.
  • Lema anatetea maslahi ya taifa, Rage anatetea tumbo lake.
  • Lema anapinga dhuluma na ufisadi, Rage ni tapeli na mwizi.
  • Lema anapigania haki na usawa, Rage anatetea unyanyasaji.
Kwa kifupi Lema na Rage ni kama mwanga na giza na wewe Mwita25 a.k.a Philanderer umeamua kuishi gizani !

Ameamua kukaa gizani pamoja na yule FF,ms,ritz na rejao hawa ni mzigo yani cjui watatokaje huko na giza lililomo humo.
 
Mkuu, kwa hiyo nikitaka kujua habari za Lema, niende nikakae kwenye Vijiwe vya Arusha, kwa wahuni.

Nashukuru mkuu kwa kutufahamisha taanza ni Vijiwe vya pale Sakina na Unga Limited

Njoo uelimike na utoke katika giza ulioko tena fanya fasta na wale wenzio mnaowaza kwa masaburi.
 
Back
Top Bottom