Angelikuwa ni Mh. G Lema amepanda jukwaani na bastola!!

Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.
sijawahi kusikia mahakama hapa Tanzania ikimhukumu jambazi kuwa 'asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu' ingekuwa hivyo matukio ya ujambazi yangekuwa katika kiwango cha juu sana.
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.

Du yaani wewe ni mweupe kuliko maelezo,ni mahakama gani inayofanya kazi ya kuandika historia tanzania?
 
Ndo maana siku zote nazidi kuamini kuwa sheria zimewekwa kwa ajili ya wanyonge other wise they are above the law na hili lina mwisho
 
wakuu! mibnafsi huwa sipendi mnavomqoute mwita25!

tupa kule hana kitu!

jadili mada basi!
mkuu, umenena saia.
isipokuwa sisi ambao tunamaliza tit for tat, wakati mwingine tunashindwa kumvumilia huyu kiroboto........na viroboto wenzake.
 
Mi nasubiri interijensia watoe huo upuuzi wao waone kama na mimi sijaanza kutembea na gobore kiunoni
:fencing:
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.

Mkuu huendani na unachokishabikia bora tulia.
 
Ingekuwa cdm yule sheikh wa arisala chanel ten angekuwa kama kakalia kaa la moto. Kunya anye kuku akinya bata mm....
 
Hili ndio taifa la wahuni na tunaona jinsi gani wanavyoweza kufanya wanalotaka kama budget za bungeni. Uhaini ndio huu what else can you say? Wapo wangapi wanaruhusiwa kubeba guns? Mbona Igunga vijana (green guards) sio wote wamepewa bastola kwa ulinzi?
 
Lema mida hii angekuwa kwenye martial safe house(jera la jeshi)
kikwete angeahirisha matembezi yake huko Amerika, kuja kuzungumza (akiwa anamaanisha kuhutubia taifa) na wazee wa mkoa wa Daresalama!!!
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.

Waambie hao, Mmasai kumkuta na sime,rungu,kisu ni kawaida. lakini vitu hivyo ukimkuta navyo kibaka wa Mbagala ni lazima ujiulize kama si kumpeleka polisi.
 
Guys I have been urging you for sometimes now to ignore mtu kama Mwita25 na Nape .Nadhani huwa mnaniona sijui vipi but these na wapuuzi wenzake muda wote wanatu derail toka kwenye mada ili kuongelea utumbo .Issue ya Rage Msomali na criminal haswa kusimama na bastola kisa ni CCM ni nyeti mno .Hata kama State itaona si kosa wakakaa kimya wajue kwamba wakaribisha hatari na yatakayo tokea wakaendelea kuwabana wasio wana CCM wanajipalia kitu kibaya si wao tu bali ni kwa Taifa zima .Kwa muda mwingi Nchi hii na watu wamekuwa wakimya wapole hata wakikosa chakula kwa kunyimwa na mjumbe wa nyumba 10 watanzania wamekuwa wakimya .Nao hao ni watu za zamani kama mimi ila vijana wa sasa hawataweza kuwa makondoo lazima dola ijue .Ubaguzi wa sheria ni hatari sana na matokeo yake watayaona soon .
 
serikali inabidi itoe tamko kunyamaza kimya kutakuja kuleta shida huko mbele ya safari nasema hayo kwa sababu ipo siku akionekana Lyatonga Mrema na mguu wa kuku akachukuliwa hatua sijui itakuwaje?
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.
You haven precipitated yourself...am sorry for you and your like.
 
Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.

Rage alishawahi kupigwa mvua kwa kuiba mipira ya FAT, alinyea debe miezi kadhaa lakini leo anamiliki mguu wa kuku kwa nguvu ya magamba!
 
Back
Top Bottom