Angela Kairuki: Wasifu wa mdada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndjabu Da Dude, May 25, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Ndjabu Da Dude

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,458
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  Naona JK kampatia uwaziri Angela Kairuki kutokana na zile ziara za mwaka jana za Kamati ya Wabunge kwenda UK kudai pesa za rada zirudishwe hazina, ambapo hatimaye walifanikiwa. Kwa mtazamo wangu, Angela Kairuki alionekana akizungumza kwa machungu makubwa na hasira wakati akiweka wazi msimamo wa Serikali mbele ya Wabunge wa UK kwenye taswira na video zilizotolewa wakati huo

  Hivi huyu mdada ni chotara, na ana wasifu gani kwa maana ya umri, elimu, marital status, na kadhalika?
   
 2. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Marital status ni Mrs. Kairuki
   
 3. Ndjabu Da Dude

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,458
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  Ana watoto wangapi, mkuu? Na vipi kuhusu umri na kiwango chake cha elimu?
   
 4. s

  salaama JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Mkuu swali kwamba ana watoto wangapi na umri wake una relevance gani kwa kazi yake ya Unaibu Waziri? La maana hapa la kufahamu ni elimu yake. Kwa mujibu wa tovuti ya Bunge mheshimiwa huyu ni Mwanasheria, ni Wakili wa Mahakama Kuu, na kabla ya uteuzi wake alikuwa ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala.

  Ukiachilia mbali michango yake mingi Bungeni inayohusu utetezi wa haki na maslahi ya wafanyakazi (malipo ya pensheni ya wafanyakazi wa Tazara, waalimu waliosimamishwa Chuo cha Ustawi wa Jamii, wafanyakazi wazalendo wa migodini wanaolipwa kipato tofauti na wageni kule Barick) mheshimiwa huyu aliongoza debate ya maoni ya wadau kuhusu muswada wa sheria ya Katiba kule Dodoma....pale ndipo alipo display skills za hali ya juu,kwa ku accomodate mawazo ya pande zote pasipo ushabiki.

  Mpaka anateuliwa nafasi ya naibu Waziri wa Katiba na Sheria, alikuwa ni Katibu Mkuu wa Tanzania Women Parliamentarian Group (TWPG) inayojumuisha wabunge wanawake kutoka vyama vyote, pia alikuwa Mmoja wa wawakilishi wa Bunge la Tanzania katika Interparliamentarian Union (IPU) ambapo alichaguliwa na taasisi hiyo kuwa Mjumbe wa Kamati ya Haki za Binadamu.
   
 5. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Lete elimu yake!!!!!!
   
 6. s

  salaama JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Mkuu hapa chini ni reference za yale niliyoabarisha:

  Kuhusu IPU- http://www.ipu.org/conf-e/126/list.pdf ( nenda page 56); pia angalia MICHUZI: Tanzania yapata nafasi nyingine IPU


  Kuhusu TwPG:
  http://www.chathamhouse.org/sites/default/files/public/Research/Africa/240112summary.pdf


  Kuhusu haki za wafanyakazi:
  Tazara hansard ya swali kwa PM: https://parliament.go.tz/index.php/primeminister/question/all/10/30

  Wafanyakazi wa majumbani: Parliament of Tanzania

  Wafanyakazi wa ustawi wa jamii Parliament of Tanzania


  Wafanyakazi wa migodini:


  Wabunge walalamikia wageni kuchukua ajira za wazalendo
  Na Sharon Sauwa


  Wabunge wamelalamikia suala la wafanyakazi wa kigeni kupewa ajira zinazoweza kufanywa na wazalendo.

  Wakichangia hotuba ya makadirio ya matumizi yya Wizara ya Kazi na Ajira kwa mwaka 2011/2012, walisema pia wafanyakazi wageni wamekuwa wakilipwa malipo makubwa kuliko wale wazalendo ingawa wana sifa zinazofanana.

  Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Angela Kairuki, alisema wafanyakazi wa kigeni katika Mgodi wa Marmo Granitor ambao uko mkoani Mbeya, wapo 32, lakini wote wanafani za mafundi mchundo, madereva na mlinzi.

  "Hivi kweli ni wafanyakazi wazalendo hawawezi kufanya kazi hata ya ulinzi ya kuwafungulia milango watu, hii ni aibu hatuwezi kukubali," alisema.

  Pia alisema wafanyakazi wazalendo wenye sifa sawa na wengine wa kigeni katika kampuni moja wamekuwa wakilipwa Sh. 800,000 wakati wa kigeni wamekuwa wakilipwa na Sh. milioni 11.

  Hii ni reference yake alivyohojiwa na gazeti la Guardian la Uingereza
  BAE urged to pay £29.5m fine to Tanzania | Global development | guardian.co.uk


  Pia anayo website yake kuhusu masuala ya wafanyakazi...tembelea
  http://www.angellahkairuki.com
   
 7. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,530
  Likes Received: 1,754
  Trophy Points: 280

  - CV nzito nilidhani ni ya Rais mpya wa Ufaransa maana zinafanana fanana eti, saafi sana Waziri anakuwa kwenye kiwango cha elimu yake, sasa muacheni dada yetu afanye kazi ya taifa.


  William.
   
 8. s

  salaama JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Bachelor of Laws (LLB Hons) University of Hull, UK; Pgd in Legal Practise-Stafordshire University; Level 3 Certificate in French Language-university of Nantes,France

  Professional qualifications: Commissioner for Oath and High Court advocate, Anti-money laundering (AML) specialist, Certificate in Legislative Drafting-Ghana Law school, Certificate in Altenative Dispute Resulution and Arbitration-UNiTAR, Certificate of Labour Law-Tanzania Labour College-mbeya, Qualified Arbitrator-


  Pia mwaka jana alikuwa miomgoni mwa vijana wachache katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki waliochaguliwa kushiki kwenye Programu ya Leadership for Change in Africa.....details zaidi zipo hapa Home - Team Web Site


   
 9. P

  Pwito Senior Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mtoto wa aliyekuwa bodigadi wa Mama Mkkapa ambaye kwasasa kapewa ulaji (Ester Mkwizu)
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,005
  Likes Received: 1,656
  Trophy Points: 280
  Mbona Ma CV kama haya CCM siyo tatizo? yapo mengi Lakini yote yamegeuka kutumika kwaajili ya wizi wa mali za umma Chenge ana CV nzito lakini bonge la fisadi halafu bungeni hana mchango lakini Mnyika ana Elimu ya wastani yenye ufanisi wa hali ya juu ha! ha! ha!
   
 11. D

  DRV Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni kweli ni mdada mwenye uwezo mkubwa na vipaji lukuki.

  Lakini ni kweli pia kuwa ni mtoto wa Esther Mkwizu aliyekuwa mshauri wa Rais Ben wa mambo ya uchumi. Kama sikosei bado ni mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation. Kwahiyo anatoka kwenye familia iliyojikita kwenye system.

  Ukiacha hilo ni mke wa msaidizi mkuu wa rais Ndugu Mberwa Kairuki ambaye amekuwa msaidizi wake tangu foreign.

  Nionavyo mimi ni kuwa pamoja na advantage zote hizo bado Angela ni mtu mwenye uwezo na anastahili hapo alipo!
   
 12. J

  Jadi JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,315
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  good explanation
   
 13. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,031
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Na Mr. Kairuki ndie mwandika hotuba wa JK
   
 14. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ana elimu na uzoefu wa kutosha. Tatizo ni chama chake! Ukipata uongozi wa aina yeyote kupitia ccm, ubongo unaruka, akili zinakutoka, na ujajikuta na akili alizozungumzia Msaburi!
   
 15. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mkuu katika hoja hii nilielewa kuwa unahoja unataka kuitoa, sasa ilikuwa vigumu kufanya hivyo bila taarifa za ziada kama ulivyozihitaji. Kwa kuwa sasa umezipata za kutosha hata za ziada kuliko mahitaji yako tunaomba sasa wasilisha hoja yako mezani. AU imepotea ghafla?
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbelwa Kairuki ni mume wa Angella Kairuki. Mbelwa Kairuki amekuchua nafasi ya January Makamba Ikulu ya mwandishi wa habari wa Rais ni mtoto wa mwisho wa Marehemu Prof Herbet Kairuki mwenye Mikocheni Hospital. Kwa taaluma Mbelwa naye ni mwanasheria kutoka chuo kimoja Uingereza. Nafikiri walikutana na Angella masomoni UK.

  Angella ana uwezo mkubwa tusubiri kupima utendaji wake ingawa kweli amekulia kwenye system ambayo hatuwezi kupuuza kwamba imemsaidia kumbeba.
   
 17. S

  Sheba JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pwitoooo,

  Tufanye ulikuwa unatania tu. Mama Mkwizu hajawahi kuwa bodyguard wa Mama Mkapa, Mama huyu sio mwepesi kiivyo. Alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya EOTF. Isitoshe kama ni kuhusu kuteuliwa kwake kwenye Tume ya Katiba utapenda kufahamu tu Mama huyo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Private Sector Foundation. Is unajua kuwa Rais aliomba taasisi zipeleke majina ya wanaopendekezwa kwenye Tume?TPSF ndio waliompendekeza, au usingependa Sekta Binafsi iwakilishwe kwenye Tume?
   
 18. k

  kaguru Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  cv imetulia tunamuombea kila la kheri katika utendaji wake na MUNGU amsaidie,pia amesoma Kilakala sekondari
   
 19. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,998
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Ila ww nae Taarabu sana.
   
 20. T

  Tata JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,587
  Likes Received: 528
  Trophy Points: 280
  Now I can see the dots being linked slowly. Hii inaitwa "technical know who". Ila kwa elimu yake na uzoefu alio nao nadhani anastahili.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...