chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Waziri anayehusika na utumishi wa umma na utawala bora Mh. Angela Kairuki akijibu swali la mbunge aliyehoji endapo Edward Lowassa angeshinda urais ingekuwaje maana watumishi wa umma hawapaswi kuwa wanasiasa.
Amemjibu kuwa wangebadilisha mfumo na kuingia kwenye daraja lingine.
Hiki kitu sijakielewa kuhusu mtumishi wa umma kutoruhusiwa kuwa mwanasiasa kwa kuwa Rais Magufuli naye ni mtumishi wa umma na alikuwa mwanasiasa sasa kwanini wasibadilishe?
Hebu msikilizeni hapa mkielewa mnieleweshe