Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,843
- 6,047
Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.