Angekuwa Magufuli kesho tungeamka na Breaking News ya Waziri wa michezo kutumbuliwa

Nan alimwambia mwananch hvyo na kisa kilikua nin bro?
...mmm, nimeanza na wasiwasi na haya unayoyasema mkuu!
Naona mama bado ana huruma za mama..

Yule Uteuzi wake aliyemuambia Mwananchi hadharani kwamba atulize matako, so mpaka Leo anaendelea kula nchi na mama bado anamwachia tu bila kumpa adhabu yoyote!
Hats hili litapita kimya kimya tu...
 
Ujinga ndio maana amendoka yeye Magufuli akatuacha . Reasoning with reasons.
 
BMW ni mfumo gn?
BMW kwa wale waliosoma Politics ina maaana Utawala ambao BABA, MAMA, WATOTO wako kwenye system ya Serikali kwa pamoja. Mwi, SAM etc
Like JK, SALM, RIZ.
Kitu ambacho Dozzer alikuwa hataki hata kusikia mkewe akiwa jukwaani bali abaki mpishi. Thats BMW mean
 
Bashungwa ni nshomile kweli. Huwa nikiangalia picha hii alivyoshika karama akiangalia kamera huku hana karatasi ya kuandika ndipo ninapojua jamaa ni nshomile kweli.

View attachment 1778015

Ila sasa aangalie asijegeuzwa mbuzi wa shughuli kwani aliletwa na magufuli, na hii inaweza kuwa ni mwanya mzuri ya kumrudisha nape kwenye Wizara ile.
Hiii nafasi ya nape jamani hawa wengine mnafosi tuuu
 
Je na hili la biashara United kushindwa kwenda Libya waziri wa michezo angebakia kwenye dhamana aliyopewa?

Tunaongozwa na watu wasio na interest wala maarifa na mpira sad...
 
Je na hili la biashara United kushindwa kwenda Libya waziri wa michezo angebakia kwenye dhamana aliyopewa?

Tunaongozwa na watu wasio na interest wala maarifa na mpira sad...
Kweni zile pesa zilizochangishwa na kina makonda timu kipindi inaenda Afcon zilipopigwa nani alitumbuliwa?
 
Back
Top Bottom