Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

thumb20.jpg

Salaam!

Ni muda sasa humu Jukwaani kumekuwa na mabandiko ya watu mbalimbali wakiomba kazi, zile za ujuzi mahususi na zile za jumla.

Baadhi ya wanaoandika wamekuwa wakitaja sifa zao, wengine wakitaja kwa upana na wengine kwa ufupi sana na wakati mwingine bila taarifa zozote zitakazomwezesha mwajiri kupata fununu za mtu anayetaka kumuajiri.

Kama ambavyo wanaoweka matangazo ya kazi waliaswa hapa: ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu nadhani ni wakati wa wanaoweka matangazo ya kusaka kazi pia tukazingatia vigezo kadha wa kadha.

Walau tangazo la kutafuta kazi liwe na vitu vifuatavyo:

  • Wasifu, kwa kuwa kanuni za JF zinalinda haki ya faragha, utambulisho uhusishe wasifu mwingine ISIPOKUWA majina. Mathalani, mwombaji anaweza kusema kuwa yeye ni kijana mwenye umri wa miaka XX anayepatikana eneo XY.
  • Elimu, hii inasaidia mtu ambaye anaomba kazi kuweka wazi elimu aliyonayo, iwe ya jumla au ya utaalamu mahususi. Waajiri au wenye kujua fursa za ajira wangependa kujua elimu aliyonayo mhitaji ili wamsaidie iwezekanavyo.
  • Uzoefu. Hiki ni kigezo kinachompa sifa za ziada mwombaji. Ni vema kusema kama umewahi kufanya kazi, semina ama kuhudhuria mafunzo fulani maalumu kwani itaongeza ushindani wa mwombaji.
  • Mapendeleo. Kutaja elimu na uzoefu pekee hakutoshi, ni vema muombaji/mhitaji akaweka wazi kazi, eneo, mazingira ya kazi ambayo anayapendelea pamoja na vitu vingine vya ziada. Kuandika kwa ujumla sana hupelekea wasio na nia njema kujibu kwa kejeli na dhihaka. Kuwa mahususi na kazi itakiwayo kutapunguza majibu mengi yasiyofaa kwa mwombaji.
  • Andiko lisiwe na nia ya kuvuta sana usikivu. Maandiko yenye uelekeo wa kulia-lia, kutangaza kuwa maisha ni magumu na hujui ufanyaje hakurahisishi harakati za kupata kazi. Watu wenye nia mbaya wanaweza kutumia uhitaji huo uliopitiliza kwa manufaa yao kiuchumi (utapeli) na hata kingono (hasa kwa mabinti).

Nawatakieni kila lililo jema katika harakati za kusaka ajira!

Thanks a lot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello wapendwa! Kupitia chanel hii ya comment. Natafuta mmiliki wa gari mf Ist, vits passo nk ambae ataruhusu gari lake liingie mkataba na uber kwa kazi za ubebaji wa abiria hivyo nikiwa kama dereva tutakubaliana kiwango cha maresho kwa wiki.
Tel no# 0718286870
0789702863
 
Natafuta kazi ya ualimu wa english medium kwa masomo ya english,ICT,civics,kiswahili,..0626452875
 
Hello wapendwa! Kupitia chanel hii ya comment. Natafuta mmiliki wa gari mf Ist, vits passo nk ambae ataruhusu gari lake liingie mkataba na uber kwa kazi za ubebaji wa abiria hivyo nikiwa kama dereva tutakubaliana kiwango cha maresho kwa wiki.
Tel no# 0718286870
0789702863
Mkoa gan
 
Asante sana mkuu
 
Natumaini hamjambo natafuta kazi ya udeleva naishi dar kata ya ubungo wilaya ya kibamba kijiji cha mbezi mwisho kwayule atakaye kuwa anaitaji anacheki 0762849063
 
Natafuta kazi ya fani y kilimo na ufugaji elimu yangu ni certificate in general agriculture. nina uzoefu wa miaka mitatu
Napatikana Singida
0755435524
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom