Angalizo: Tusianze kutukana kuwa wapinzani wananunuliwa au Rais anataka kuua upinzani

We jama kama sigara kali
Muache mama atengeneze umoja wa kitaifa uliouliwa na mwendazake
Tofauti ni kwamba mama atachukua hata upinzani bila kuhonga au kumnunua kama alivyofanya mwendazake
kiufupi umemmaliza mwenda zake kwa mistari mitatu na upuuzi wake wa kuhonga honga
 
Kati ya marais ambao hawakujali sana uchama kwenye teuzi mbalimbali ni JPM. Ni vile tu katiba inalazimisha nafasi nyingi serikalini ziambatane na makada wa chama tawala, lakini teuzi za awali kabisa za akina Mpango na Kabudi ni mfano wa wazi kwamba JPM alikuwa mbunifu sana katika uongozi wake.

Sasa kuna matakataka fulani yanadhani mama kusema kwamba hataangalia vyama katika teuzi zake basi anaanzisha jambo jipya. Yeye mwenyewe kashawaambia yeye na JPM ni kitu kimoja na mazuri ya JPM atayaendeleza pa kurekebisha atarekebisha.
 
Mwenyekiti wa ACt Anna mghwira alihongwa?
Vipi hicho cheo bado anacho ndani ya ACT?
kiufupi ukiteuliwa kuwa RC DC automatic unakuwa umejitoa uanachama wako maana wanaingia kwenye vikao vya chama vya chama tawala kutokana na katiba mnovu iliyopo
 
Back
Top Bottom