Angalizo: Taa za kumulika barabarani Mandela Road-Buguruni

Damson88

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
259
24
Hivi jamani kwa mara kadhaa nimepita.mandera road na mara nyingi hizi taa za kumulika usiku zinakaa zinawaka, je Tanesco hivi ndo vigezo mtatumia kutupa mgao, kutuuzia nguzo million na uchafu, kukata kodi kwenye luku kila mwisho wa mwezi. Na Eti ohho umeme unaozalishwa hautoshi. Kuweni wachumi, sambaza umeme vijijini huu umeme unaowaka barabarani mchana ukamfae mkulima kukobolea na kusagia nafaka. Nimtazamo tu, tusitaftane!
 
Back
Top Bottom