Angalizo. Si lazima kuamini nyaraka hii, lakini si ya kupuuza hata kidogo

matarimo

Member
Nov 2, 2010
5
0
ANGALIZO: Si lazima kuamini nyaraka hii, lakini si ya kupuuza hata chembe.

chakachua_halmashauri_mwanza1.jpg

chakachua_halmashauri_mwanza2.jpg
 
HUU ni mchakachuO!!!!No ref number,hakuna hata mhuri wa siri na ukuangalia flow yake unaona wazi tu si ya kweli.Inawezekana Kabwe ana electronic signature au walitumia scanned document.
Forum ya technology wanaweza kutusaidia na ingawa mimi ni pro Chadema lakini hapo tuliingizwa mkenge.
 
hakuna ubaya hata ikiwekwa mara mia watanzania wote tuione mie nd0 kwanza naiona.hii ndio nchi yetu na baadhi ya watu wanadai demokrasia imekua inasikitisha sana unajua wananchi cha kufanya ni nini? 2015 ni kuwanyima kabisa mafisadi hawa kura washindwe hata kuchakachua
 
HUU ni mchakachuO!!!!No ref number,hakuna hata mhuri wa siri na ukuangalia flow yake unaona wazi tu si ya kweli.Inawezekana Kabwe ana electronic signature au walitumia scanned document.
Forum ya technology wanaweza kutusaidia na ingawa mimi ni pro Chadema lakini hapo tuliingizwa mkenge.

Ndugu zangu huu ni uchakachuaji wa habari, hii barua km utaitazama kwa makini haina reference no, no rubber stamp ni ajabu tupu. Nikifikiri kwa haraka haraka labda chadema they jst want to save their face coz wameshindwa. si ajabu kushindwa wameonyesha upinzani mzuri sana no body expected at al, so hamna sababu ya kuweka viroja ambavyo havina msingi wajipange upya for 2015!:israel:
 
Kwani hiyo reference number wangeiweka ya nini wakati walijua kwamba wanafanya usanii na itaweza kufichuka wakati wowote????
 
Matarimo karibu,tunashukuru.Ila si vibaya ukiingia sehemu mara ya kwanza ukasoma mazingira kwa umakini humu kuna mengi zaidi ya hiyo barua.
 
Ndugu zangu huu ni uchakachuaji wa habari, hii barua km utaitazama kwa makini haina reference no, no rubber stamp ni ajabu tupu. Nikifikiri kwa haraka haraka labda chadema they jst want to save their face coz wameshindwa. si ajabu kushindwa wameonyesha upinzani mzuri sana no body expected at al, so hamna sababu ya kuweka viroja ambavyo havina msingi wajipange upya for 2015!:israel:

Acha kutetea uovu... we utakuwa kada wa **M tu
 
Back
Top Bottom