Angalizo namba nyingine ya simu isiyo tambulika 0529381 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo namba nyingine ya simu isiyo tambulika 0529381

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Donn, Aug 17, 2012.

 1. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wiki iliyopita private number ilikuwa inanibipu mara kwa mara, niliwauliza Tigo na wakashindwa hata kuitrace. Leo nimepigiwa na hii number 0529381 nikasikia maongezi ya watu na walikuwa wanaongelea kuhusu mtu fulani ambaye yupo moshi. Walipostukia kuwa nimepokea wakakata simu sikuwapigia bali nikawasiliana na huduma kwa wateja japokuwa nao kama kawaida, ''tatizo lako tumelifikisha mahala husika''

  Angalizo ya wezekana hawa ndio wale wale wakwangua hela kwenye simu, sivyema kupiga kwa namba za ajabu ajabu
   
 2. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  huwa unapigiwa wewe tu eeh hongera
   
 3. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mimi last week nimepigiwa na kutumiwa text na 000541155195163.....ukiwapigia wanaleta mboyoyo,wana accent ya ki-nigeria,ni matapeli pia.
   
 4. a

  anno Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ni matapeli full kuwa makini wanaweza kukuliza
   
 5. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Unaonyesha si msoma post za jukwaa hili mara kwa mara :focus:
   
 6. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ila najiuliza mtandao wa simu unashindwaje kutrace hizi namba?
   
 7. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kaka tatizo siyo mtandao wa CM....tatizo waajiriwa ni vihiyo....hawajielewi....wengi wamepewa ajira kwa Vimemo. Hawajui kazi mzee nilishawapigia kwa matatizo madogo yanayoitaji maamuzi ya kawaida...aaah! wapi hamna kitu
   
 8. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Kiteknolojia sio rahisi watoa huduma kutambua kila namba ya simu, imagine mtu analipa internet call service kama net2call ambayo inampa option kuchagua namba yoyote anayotaka ionekane kwa anaowapigia halafu anaanza kupiga simu kwa watu kupitia internet

  Sio rahisi service provider yoyote kujua hiyo namba ya nani na anapiga toka wapi, anweza kua Dar lakini namba yake inaanzia na +44. Its technological disaster

  Only thing ni kuwa sio rahisi kutoa au kuiba hela iliyo kwenye simu yako kama ambavyo wengi wanajaribu kuamini hapa, wizi upo but its in other way round sio rahisi in such a way
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  au ndio ile machine toka israel iko kazini?
   
 10. d

  danizzo JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wako kukwangua hivyo vijisent vyako vya 0712pesa
   
 11. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ukipiga salio hata kama buku10 inaondoka fasta kwa 1sec
   
 12. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ila hili nalifananisha na lile la website za wizara kuwa hacked, tunatumia technologia ya chini sana
   
 13. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mm hii imenpigia nlipopokea kaongea mzungu hela yote yangu ikakataaaaa damn it +447782333123
   
 14. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  private call zimekuwa nyingh nowdays, cha muhim reject it
   
 15. T

  T.K JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Rekebisha kauli mkuu, usifikiri mambo ni rahisi rahisi hivyo..........unapotrace call lazima uwe na go ahead ya police(ina maana hiyo kazi iwe ni sehemu ya kukamilisha uchunguzi wa kipolisi) kinyume cha hapo ni illegal sababu unaviolate customer privacy.....to make matter simple we nenda karipoti Police then pilice walaunch investigation uone kama utapewa hizo info au la............kuna wakati tunashutumu bila kujua undani wa mambo ulivyo
   
 16. T

  T.K JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  so unataka kutuaminisha kuwa hela yako ilikata ikaingia kwenye account ya huyo mzungu?...kwa kiwango ninachoelewa sidhani kama hii kitu inaelewezekana, wadau wanaojua jinsi billing inavyofanyika watuambie kama hili linawezekana
   
 17. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  mimi kwa sasa nimeamua kuacha kureacharge tigo, kwani kila nikirecharge baada ya muda sikuti kitu. nimeamua kutujaza salio tigo
   
 18. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Sirekebishi kauli........wewe inaonyesha huishi Tanzania.....ujue twende General kwenye hili......unapopiga cm Customer Care, huwa kuna idara....za huduma....in this case wahusika wa idara husika lazima wawe ni wajuzi wa jambo husika.

  Mfano" niliwahi kujiunga Tigo post paid...., nikatumiwa Link kwa ajili ya kulog in, nikapewa username & PW....lakini nilipojaribu kulog in ikagoma, nikapiga idara husika.....unajua waliniambiaje...(hii ni baada ya kuitana kwa muda mrefu na kuulizana" wakaniambia HAWAJUI HIYO Link ni ya nini""" wao ndo walinitumia...lakini hawajui ni ya nini?? Nikawauliza kama kuna huduma wanayo ambayo ninaweza kuangalia matumizi yangu online....badala ya kuniambia aidha haipo au ipo...mpokeaji aliniambia HAJUI ( suala hapa....kama kweli unafanya kazi Kampuni/Idara husika....na uko makini Siyo Kihiyo) kujua aidha huduma iyo ipo au la.....nafikiri ni kitu muhimu kwa kuwa ndo kazi yako, sasa kama umewekwa tu huwezi fuatilia, na sio rahisi kwa ambaye sio kihiyo kusema SIJUI, kwa jambo dogo kama hilo.

  Yapo mengi mzee ila nisije nikajaza sever ya JF.

  Hapa ukiiyo ninaozungumza....ni kitendo ya mfanyakazi kuweza kufanya maamuzi kulingana na idara aliyopewa, na uwezo wa kutambua changes zilizopo katika idara husika, kwa kuwa shuguli yake ni kuudumia wateja.....then ni JUKUMU LAKE KWA UHARAKA kufuatilia na kujua changes ili wateja wahudumiwe katika muda.

  Kutojua au kutofuatilia...ndo ukihiyo wenyewe, kwa kuwa mtu amewekwa ni vigumu kujua majukumu yake kaka

  Pia fuatilia...kuna cku niliweka sh 1,300 kwenye cm yng...nikaongea kwa dk takriban 4:57, salio nikaangalia, limebaki Tzs 7/= nikapiga cm CC, yeye akaniambia hajui ni kwa nini imebaki hvyo...ni baada ya kumuuliza 1sec costs 1tzs + VAT 18%, how comes takribani sec 300 + VAT, zikala 1293???.

  Kukosa jibu (tena kwa Customer Care) kwa suala kama ilo ni ukihiyo maana umeweka idara husika, alafu unakosa majibu husika, wewe sio kihiyo ni nini??

  Piga cm Customer Care, upande wa internet settings, wapo (wanaoweza) ila siku mungu akikudondoshea kwa muhusika utaona vituko mzee.......nilishaona vituko/na kusikia kwenye hizi CC

  Unless otherwise nawe uwe kwenye idara hizi....huwezi kuona mapungufu kwa kuwa nawe uko ndani.

  Nawasilisha
   
 19. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Cjasema hela imeenda kwa mzungu. Nmesema hela imekata. Huwa siwek comitment za hovyo bila uhakika
   
 20. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  T.K upo kitengo nn? Hebu funguka bana tukupe maswali T.K:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...