Angalizo muhimu kuhusu uteuzi wa Dr. Magufuli wizara ya ujenzi | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo muhimu kuhusu uteuzi wa Dr. Magufuli wizara ya ujenzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwikimbi, Nov 28, 2010.

 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,746
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  wiki hii ilikuwa tena wiki ya vicheko kwa watanzania, wakiwa na matumaini mapya kwa mpambanaji aliyerejea tena wizara ya ujenzi kujenga mabarabara toka mtwara hadi bukoba ili siku moja mtanzania aweze kusafiri na gari dogo tola mtwara hadi bukoba. bahati nzuri mpambanaji huyu anarudi wizarani hapao wakati bado takribani km 100 tu barabara zinazoitaji lami ahadi hiyo itimie. barabara izo ni ile inayotoka somanga
  karibu na daraja la mkapa hadi karibu na nangurukuru huko lindi (km 60), na mkiwa huko singida kama km30 na ushee.
  ni vema tunaomfahamu magufuli tukawapa watanzania angalizo mapema, kuwa wasitegemee mengi kwa mtu huyu ambaye ni mojawapo ya haambilikis wa hapa tanzania

  magufuli ni mojawapo ya mawaziri wachache ambao mpaka leo hajaweka msimamo wake wazi wazi kama yupo nasi au yupo na mafisadi, wakati akina sita na wengine wakipigana bila kuangalia maslahi yao yeye hatujui yuko wapi, leo na akina lowasa, kesho na kikwete na pengine mwisho kabisa kama mpambanaji dhidi ya wazembe serikalini.
  maamuzi mengine ya maguufuli yamelitumbukiza taifa katika hasara kubwa kama lile la uvuvi haramu, taifa limelipa mabilioni kama gharama za kuhifadhi samaki wale na haijulikani nini mastakabali wetu kuhusu kesi ile ya wavuvi haramu.

  alipokuwa wizarani hapo ujenzi alikuwa ni mtu asiyeshaurika, yeye na media kila wakati pasipo stahili

  baadhi ya maamuzi tata yaliyogharimu taifa ni kuhusu lile la kuuza nyumba za serikali, ambalo hata leo taifa linajutuia. upo ukweli kuwa alihusika kugawa nyumba hizo hata kwa vimada wake jambo amballo linatilia shaka uadilifu wake.

  kubwa zaidi ni ile rushwa aliyokuwa akipewa kupitia taasisi nyeti kama SUMA JKT, upo ushahidi wa kimazingira kuwa mara nyingi alipindisha maamuzi ya bodi za zabuni ili kuwapa wabia wake suma jkt kazi. mojawapo ni zile nyumba za seriakali za mbweni ambazo nyie ni mashahidi kuhusu uozo ule mtupu.inasemekana kuwa yeye huwa salamakulla mlungula kupitia taasisi nyeti kama hizi na hilo amekuwa akitamba wazi wazi, labda ndo maana mafisadi wenzake akina masha nao wakajifanya kuwa usalama wa taifa katika ule wizi wa epa na green ...

  magufuli ni mbinafsi wa kutupa, na hili linadhihirisha jinsi alivyokuwa tayari kushinikiza makao makuu ya mkoa mpya wa geita kupelekwa wilayani kwake chato. naambiwa kuwa aliwahi kupindisha miradi ya kitaifa ya barabara ipite wilayani kwake chato, na kama haitoshi aliwahi hata kulazimisha national housing wajenge nyumba zao huko chato bila kuzingatia maslahi ya kibiashara

  HUYU NI MAGUFULI, NAANDIKA HAYA LEO LAKINI ANGALIZO KUU NI KUWA WATANZNIA MSITEGEMEE TIJA TOKA KWA HUYU MTU, ILA UKASUKU WA KUKARIRI UREFU WA BARABARA
   
 2. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #21
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  BIG UP!!!!!! MAGUFULI!!!!!!! TAYARI MWIBA WAKO UMESHAWACHOMA WATU WASIOITAKIA MEMA NCHI YETU YA TANZANIA!!!!!! ONGEZA NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI!!!!!!!!!!!WASIKUGHILIBU MWANANGU!!!!!!!!!! ENDELEA KUWACHOMA!!!!!!!!!!:israel::israel::israel::israel::israel::israel:
   
 3. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #22
  Nov 29, 2010
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 360
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapo penye nyekundu hukumalizia vizuri

  "Mnyonge mnyongeni akisha kufa haki yake mpeni" Ndio yalimpata Sitta, alinyongwa kisiasa akafa halafu akapewa haki yake wizara ya Africa mashariki!
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #23
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #24
  Nov 29, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,804
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kwa maandishi yako ni wazi kuwa una chuki binafsi naye hata kama unakataa. Unapenda kurudia sana hili la nyumba za serikali pamoja kuwa unafahamu kabisa kuwa uamuzi wa mwisho haukuwa juu yake. Sidhani kama watu wanamgeuza malaika ila ni pale wewe unapojaribu kumuonyesha yeye kuwa ni shetani miongoni mwa malaika!
  Mkuu, kwa maandishi yako tu napata picha pia kuwa wewe upo kwenye kundi la watu waliokuwa wanajipatia ulaji through TANROADs na Ulaji mwingine unaohusu barabaraba zetu. Kama sio wewe binafsi basi angalau watu wawili watatu walio karibu nawe ambao kuwa kwao TANROADS kunatiririsha neema fulani kwako.
  Sadly for you and it seems many others in JF, akiwemo Muanzilishi wa Thread hii, this has come to an End of The Road! (Pun Intended!)
  Kama Binadamu yeyote, Lazima Magufuli atakuwa na mawaa yake. But angalau yeye ndani ya hayo mawaa yake 'anadanganya' kwamba anafanya kitu kuliko wale ambao wana mawaa na wala hawana hata uungwana wa kutudanganya kwamba wanafanya kitu. Wao ni kuhomola tu.

  Lakini ushahidi kuwa watu mna interest na pia chuki binafsi na jamaa, jiulizeni; haya yote mnayoandika sasa mliyaandika huyu Bwana alipoteuliwa kuwa Waziri wa Kitoweo?????? Kama mliyaandika tusameheni sisi.
  Lakini kama mnayaandika sasa baada ya Mheshimiwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi na kuanza kazi na mkwara wa kuwazibia ujali watu, basi ni wazi zenu ni chuki binafsi tu na woga wa kuzibiwa ulaji!!!

   
 6. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #25
  Nov 29, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ukikanyaga mavi(ashakum si matusi) ya leo na ya juzi kuna tofauti gani, tofauti ya magufuli ni mavi makavu na laini!
   
 7. Nyodo1

  Nyodo1 Member

  #26
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaitwa magufuli, wala sio makufuli
  Na Amelia kivulini, toka Enzi za bwana mwinyi
  Si mwenye indhini, Bali mwenye yakini
  Anena magezetini, atupumbaze akilini
  Kwani Huyu hawezi badili, alea wa magetini

  Ujenzi anapapenda, kweli kwammpa tonge
  Ajaza chake kikombe, jyfranca wala msimtenge
  Amenena wale si vijembe, wana JF tumpongeze
  Mi simtaki huyu pombe, arudi kwao chatonge
   
 8. W

  Wakwetu Senior Member

  #27
  Nov 29, 2010
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umesahau barabara ya nyakanazi kwenda kigoma km kama 300, babati singida na babati arusha, hizo ni chache, hazina lami. Fanya utafiti acha fitna.
   
 9. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #28
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,669
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  wana jamvi msaada pliz

  naitaji anuani nzima ya wizara iyo husika na ofisi zake kama ni kikanda au mkoa,
  mana nimeingia national website naona vitu vingine vimelala dolo
  aibu kubwa aisee
   
 10. Mwanga Lutila

  Mwanga Lutila JF-Expert Member

  #29
  May 25, 2018
  Joined: Nov 10, 2016
  Messages: 2,582
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mwikimbi heshima kwako.
   
 11. Mwanga Lutila

  Mwanga Lutila JF-Expert Member

  #30
  May 25, 2018
  Joined: Nov 10, 2016
  Messages: 2,582
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280  No Comment.
   
 12. Tychob

  Tychob JF-Expert Member

  #31
  May 25, 2018
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 808
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 80
  Kumbeee!!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...