angalizo..mkesha wa 2010

s.fm

JF-Expert Member
Jul 8, 2009
663
117
kwanza naomba niwatakie heri ya mwaka mpya! then nitoe angalizo kwa wale wanaopenda sana kufanya mapenzi siku za "sikukuu"

jamani hii mikesha huwa ni ya kheri au balaa!! kuanzia gesti ndipo kiini kinapoanzia, ni kelele tu za watu kumegana, zingine mpaka vitanda hutoa kelele za ajabu ajabu! haya kwenye vichochoro napo ni bao tu, tena huko ndio matukio ni mengi sana coz mambo ni fasta na "kimyakimya" ukiingia disko na kumbi za starehe ni full zero distance, wengine wanapima oil "nje nje" tu na midenda kibao! hata kenye mabaa nako ivoivo tu ma baamedi wametega...

jamani..tuwe makini kidogo, li UKIMWI linatunyemelea kila kukicha! otherwise HAPPY NYU YIA
 
Hizi ni siku za za kufanya dhambi, gesti zote zinajaa kule mitaa ya sinza na kwingineko, hupati chumba. Mahusiano mengi hupata misuko suko tarehe hizi, coz watu wengi huachwa solemba na wenzi wao. kuweni makini jamani tuuanze mwaka mpya Vyema.
 
Wakati wengine makanisani ni praise and worships za kufa mtu,mpaka twahisi mbingu zashuka!!
 
Hizi ni siku za za kufanya dhambi, gesti zote zinajaa kule mitaa ya sinza na kwingineko, hupati chumba. Mahusiano mengi hupata misuko suko tarehe hizi, coz watu wengi huachwa solemba na wenzi wao. kuweni makini jamani tuuanze mwaka mpya Vyema.
Sisi huku tumesha andaa madebe na matarumbeta tayari kwa kuyavurumisha ifikapo sita na dk moja,sambamba na kusamehe na kusahau yaliyopita!hapa ndipo utagundua kuwa hatuwezi fanya kitu kimoja kwa pamoja mara moja!!
 
yu kanti bilivu, kuna msela wangu leo kaniambia nipitie gesti moja iko kitaani kwetu nimuwekee bukingi ataibuka na shori wake, loh.
yani mwaka mpya msela yuko juu ya kiuno cha shori!!!.
 
Back
Top Bottom