Angalizo: Mawaziri na watendaji wa Rais Magufuli hamna kinga ya kuto kushtakiwa

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Tumeona wengi wa mawaziri na watendaji wa awamu ya 4 na hata ya 3 wakishatakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka, awamu hii ya tano ndiyo awamu pekee inayofanya mambo yake bila kufuata Katiba wala utawala wa sheria,mfano matumizi ya pesa yasiyopitishwa na Bunge, manunuzi bila kufuata taratibu za manunuzi,na mengine mengi!

Hivyo niwakbushe mawaziri na watendaji wengine what goes around also come around! Awamu ijayo baada ya awamu ya tano itapitia mikataba na madudu yote yaliyofanywa na na awamu ya tano.
 
Back
Top Bottom