Angalizo: Matapeli wa Mitandao wanatumia nguvu za Giza

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,369
IMG_20200627_175044.jpg
Maisha ya juu kama hivi;
IMG_20200627_174928.jpg
Ila nyuma ya pazia kuna nguvu ya Giza hutumika kutapeli
IMG_20200627_175010.jpg
Tuwe makini sana mitandaoni
]
IMG_20200627_175030.jpg
IMG_20200627_174953.jpg
IMG_20200627_174908.jpg
IMG_20200627_174836.jpg
 

Attachments

  • IMG_20200627_174928.jpg
    IMG_20200627_174928.jpg
    31.6 KB · Views: 1
Fafanua basi mkuu
Mkuu ni kwamba wanatumia nguvu za Giza ili kufanikisha kutapeli watu mitandaoni,si unaona wana tunguli hao waliokamatwa

Hii inahusisha hadi utoaji kafara wa watu(human rituals)
 
Muda si mrefu kina tawile wataanza kuzitumia nuclear za marekani na urusi kwa kutumia vibuyu tu hakuna haja ya code sijui ya rais Mara mkuu wa majeshi au makamu wa rais hayo hakuna.. kitu ni hirizi pumuzi tu ngoma inanyanyuka inakuja mpaka kigoma inahifadhiwa inasubiri mbwa abweke tumsodome na gomola..😜😂😅
 
Muda si mrefu kina tawile wataanza kuzitumia nuclear za marekani na urusi kwa kutumia vibuyu tu hakuna haja ya code sijui ya rais Mara mkuu wa majeshi au makamu wa rais hayo hakuna.. kitu ni hirizi pumuzi tu ngoma inanyanyuka inakuja mpaka kigoma inahifadhiwa inasubiri mbwa abweke tumsodome na gomola..
Ndipo tunakoelekea
 
Ila ukiangalia kwa undani hii teknolojia ya upande huu sio mchezo wangeweka tu Chuo cha wazi kwa mtu anayetaka kulipia apate mafunzo na cheti afanye hivyo.
 
Watanzania acheni imani za kishirikina wenzenu wanaiba kwa kutumia elimu Nyie mnasema ni uchawi ... Someshemi expert wa Technology sio kuishia kuwa na Imani za kishirikina.
 
Back
Top Bottom