LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Bila shaka WanaJF wa hapa Arusha Mu wzm wa afya njema. Msishangae mki2kosa baadhi ya MEMBERS humu ndani ktk siku za usoni. Mi nitasema kama ninavyoona ya kwmb tangu jz j'5 ya tar. 7/09/2011 usiku hatujawahi kupata umeme ktk masaa 7 iliyosimama na ukizingatia wizara ya nishati imeshatangazia UMMA ya kwmb mgao imepungua,Sasa kinachonishangaza si bora ule mgao ungeendelea tu? Maana Mi naona kama hii laini ya kwe2 tunaonewa sana. Hatutendewi haki hata kidogo kama wengine wanapata umeme wengine tunakosa. NAWAKILISHA WAJAMENI.