LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
- Thread starter
- #21
ndugu yangu liverpool,. Ni sehemu kubwa ya mji wetu ipo hivo hivo,,, hata huku njiro, tangu jumamosi nadhani haujakatika ile full day kama kawaida ya mgao, wakikata, wanakata labda 4 maximum ya half an hour, then unarudi, jana kutwa nzima pia umeshinda, na mpaka saivi upo,,,, ndo kwamba mgao umeisha ama?? Si watangaze rasmi,,, magamba bana
Mkubwa! Kwa huku kwe2 Sakina ha2kuwa nayo tangu jana usiku wa mana8 ila alfajiri wa leo ukarudi ila nahisi muda c mrefu wataenda nayo. Ngoja nipasi nguo 2,3 kwanza nikiwasikilizia.