Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

Mkuu Pasco kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe ila sasa Na Kutoka(Exodus) 20:5 imekatazwa kujifanyia miungu wengine na kuisujudia .

Mungu ni mwenye wivu. Ilitolewa tahadhari tu juu ya kugusa Utukufu wa Mungu

Hii miungu "Catalyst" mingine inaturejesha katika Kumwabudu Baali.

Wanaoelewa wanajua Allah ni Mmoja tu sasa hawa wengine wa Push-ups wanaibukaje tena?

Ni lazima waambiwe kuwa Mungu yule tunayemuomba kupitia sala ya Taifa "Mungu Ibariki Afrika...." yupo mmoja tu
 
Tokea ule hela za Luwassa unachanganyikiwa. "anayemuunga mkono lowassa akapimwe akili''..Msigwa
 
Leave us alone. Don't teach us how to think. Sisi tunaheshimu kila mawazo ya mwana jf aliyemo humu. Mawazo na mitazamo ya vyama vyenu yanayokataza kukosoana na kuhimiza kukubaliana kwa kila kitu kama bunch of fools pelekeni kwenye vyama vyenu.
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwaambea wenzao majanga ikiwemo kuwatabiria kifo.

Wito huu ni kufuatia kuongezeka kwa threads ambazo haziliombei mema taifa letu na viongozi wake na nyingine kuwaombea vifo.

Kauli huumba, hivyo tusishabikie sana kauli zenye negativity na kujikuta kumbe ni sisi tuna sababisha hizo negatives kwa kuziumba kwa kauli zetu. Badala yake tuwe positive kwenye kila jambo, hata tukihisi jambo fulani sio jema, tutumie kitu kinachoitwa affirmatives kubadili negative kuwa positive.

Miongoni mwa kauli hizi za hawa Prophets of the doom wa humu jf, ni pamoja na kuwatabiria vifo vya ajabu ajabu viongozi wetu!. Tusishangilie majanga yoyote kwa binadamu wenzetu, hata hawa viongozi wetu sio miungu watu hawa ni binadamu tuu kama sisi hivyo hata wakiwa ni watu wabaya kiasi gani, hata wakiwa na mioyo ya kishetani kiasi gani, hata watutendee maovu kiasi gani, sisi tuwaombee mema, tuwaombee mafanikio na kuwaombea afya njema na waishi maisha marefu hapa duniani na sio kuwaambea kifo.

Ila maisha yameumbwa na kifo pia kumeumbwa, kila mtu ni lazima atakufa siku yake ikifika tena atakufa kile kifo alichopangiwa na Mungu.

Haijalishi mtu atakufaje, ila malaika mtoa roho Israel humpitia kila kiumbe humu duniani kwa 7 mara 70 kila siku ili kuhakikisha saa yake ikifika, hazidishi hata sekunde moja, kifo ni kazi ya Mungu hatuna haja kutabiriana vifo humu na wengine hadi kuombea vifo wengine, kwa kufanya hivyo wengine bila kujijua kuwa kumtabiria mwenzako kifo au mabaya ni kujiombea wewe mwenyewe kifo au mabaya hayo kwa kanuni ya karma ya what goes around, comes around kwa kufuata kanuni ya Newton ya every action, there is equal and opposite reaction.

Haijalishi mtu atakufaje, ila kwa yoyote na vyovyote atakavyokufa, kifo hicho ndicho alichoandikiwa na ndicho kilichopangwa ile siku anazaliwa, kwa sababu kuzaliwa na kifo ni mipango ya Mungu pekee. Hata shetani akipanga mipango miovu vipi, kama Mungu hajaridhia, hata wapange vipi, kamwe hawatafanikiwa, kila binadamu atakufa saa ile tuu aliyoandikiwa na kifo kile tuu alichopangiwa kwa mipango ya Mwenyezi Mungu pekee.
Wasalaam.
Pasco
unamsema lema au?

aseme asiseme kufa ni LAZIMA
 
Mkuu Pasco kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe ila sasa Na Kutoka(Exodus) 20:5 imekatazwa kujifanyia miungu wengine na kuisujudia .

Mungu ni mwenye wivu. Ilitolewa tahadhari tu juu ya kugusa Utukufu wa Mungu

Hii miungu "Catalyst" mingine inaturejesha katika Kumwabudu Baali.

Wanaoelewa wanajua Allah ni Mmoja tu sasa hawa wengine wa Push-ups wanaibukaje tena?

Ni lazima waambiwe kuwa Mungu yule tunayemuomba kupitia sala ya Taifa "Mungu Ibariki Afrika...." yupo mmoja tu
Mimi ninashangazwa, yule anayetumia maandiko kuonya na kutaka kuokoa roho inayojipoteza yenyewe ndio analaumiwa na yule anayefanya matendo ambayo hata maandiko yanasema Hakika utakufa wanaona anaonewa.
 
Stand for what you believe. Mngekuwa mnaogopa vifo kiukweli mngehakikisha huduma za jamii (uchumi, afya, elimu, maji nk) ni zenye kiwango cha juu sana ili wananchi wengi wasife. Kuna watanzania wangapi wanakufa kwa kukosa huduma za tiba na dawa katika nchi yetu? do you know? Lakini sasa nyie mnapotajiwa kifo tu, mnarukaruka huku na huku kama vile mnakichukie kweli, wakati uzembe wenu ndio unasababisha vifo vya watanzania kwa maelfu kila siku!
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwaambea wenzao majanga ikiwemo kuwatabiria kifo.

Wito huu ni kufuatia kuongezeka kwa threads ambazo haziliombei mema taifa letu na viongozi wake na nyingine kuwaombea vifo.

Kauli huumba, hivyo tusishabikie sana kauli zenye negativity na kujikuta kumbe ni sisi tuna sababisha hizo negatives kwa kuziumba kwa kauli zetu. Badala yake tuwe positive kwenye kila jambo, hata tukihisi jambo fulani sio jema, tutumie kitu kinachoitwa affirmatives kubadili negative kuwa positive.

Miongoni mwa kauli hizi za hawa Prophets of the doom wa humu jf, ni pamoja na kuwatabiria vifo vya ajabu ajabu viongozi wetu!. Tusishangilie majanga yoyote kwa binadamu wenzetu, hata hawa viongozi wetu sio miungu watu hawa ni binadamu tuu kama sisi hivyo hata wakiwa ni watu wabaya kiasi gani, hata wakiwa na mioyo ya kishetani kiasi gani, hata watutendee maovu kiasi gani, sisi tuwaombee mema, tuwaombee mafanikio na kuwaombea afya njema na waishi maisha marefu hapa duniani na sio kuwaambea kifo.

Ila maisha yameumbwa na kifo pia kumeumbwa, kila mtu ni lazima atakufa siku yake ikifika tena atakufa kile kifo alichopangiwa na Mungu.

Haijalishi mtu atakufaje, ila malaika mtoa roho Israel humpitia kila kiumbe humu duniani kwa 7 mara 70 kila siku ili kuhakikisha saa yake ikifika, hazidishi hata sekunde moja, kifo ni kazi ya Mungu hatuna haja kutabiriana vifo humu na wengine hadi kuombea vifo wengine, kwa kufanya hivyo wengine bila kujijua kuwa kumtabiria mwenzako kifo au mabaya ni kujiombea wewe mwenyewe kifo au mabaya hayo kwa kanuni ya karma ya what goes around, comes around kwa kufuata kanuni ya Newton ya every action, there is equal and opposite reaction.

Haijalishi mtu atakufaje, ila kwa yoyote na vyovyote atakavyokufa, kifo hicho ndicho alichoandikiwa na ndicho kilichopangwa ile siku anazaliwa, kwa sababu kuzaliwa na kifo ni mipango ya Mungu pekee. Hata shetani akipanga mipango miovu vipi, kama Mungu hajaridhia, hata wapange vipi, kamwe hawatafanikiwa, kila binadamu atakufa saa ile tuu aliyoandikiwa na kifo kile tuu alichopangiwa kwa mipango ya Mwenyezi Mungu pekee.
Wasalaam.
Pasco

***
"" hata
wakiwa na mioyo ya
kishetani kiasi gani, hata
watutendee maovu kiasi
gani, sisi tuwaombee mema,""
•Aiming who?
 
Wizi mbaya sana hawa watu wamezoea kuibia serikali fedha mpaka wanatamani mabaya yawatokee kwa wale wanaozuia wizi kuendelea!
 
Back
Top Bottom