Angalizo kwa wadada, kuna dawa hatari ya kuwapata bila kuwatongoza

Sasa ninayo hapa ila naogopa kuitumia, huu si ushirikina? Dada zangu niwape pole, usikute jamaa uliyenaye amekupata kwa njia hizi. ..



Sasa Nmeelewa kwann umekuja bila break , kunikurupukia .






SIKIA, JENGA MAISHA YAKO
 
Haya mambo yapo. Kuna kipindi fulani nikiwa nasoma University hapo Daslam nikiwa naishi kwa maza mdogo mtoto wake mchanga alikuwa anasumbuliwa kuumwa umwa kila mara basi kila hospital hamna nafuu.

Katika kuhangaika akapata connection kwa mzee mmoja mtaalam wa dawa za asili yupo Magomeni tukampeleka dogo mzee akatupatia dawa baada ya siku kadhaa dogo akawa fit. Ikabidi maza mdogo pamoja na kuwa alishalipia huduma akanipa tena hela fungu la kutosha nimpelekee yule mzee kama shukrani.

Nilifika kwa yule mzee alishukuru sana akasema sio kawaida na amefurahi sana. Kabla sijaondoka mzee akanipa vijiti viwili vidogo vihi akaniambia kimoja nimpe maza mdogo na kingine nibaki nacho hicho niwe natembea nacho popote hata nikipanda daladala au basi silipi nilikuwa safari za Dar to Arusha nafika Ubungo napanda basi nafika Arusha nashuka sijalipa nikiwa na kile kijiti. Nilikuwa nakichimbia tu kwenye afro langu kila nikitoka home.

Hata manzi nilikuwa nikitokea hachomoi ni ile tu mimi sio playboy. Kile kijiti nilikuja kukipoteza hata sijui kilipotea vipi.
Kinaitwa mcheka cheka
 
..mMkuu, hiyo 'Ndele' ipo kwa Wasambaa siku nyingi tu!
Tena mbona siku hizi hana nguvu kihivyoo. Imebaki historia tu.
Kumbuka miaka fulani mwanaume ukisema tu wewe ni mzaliwa wa Tanga, akina mama hao....
 
Nnaona umerithi Uganga wa kwenu unatafuta maboya wakupiga, haya na wakija wabonde sana mzee mshirikina ila we jamaa kiaz kinyama
 
Back
Top Bottom