Angalizo kwa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma na taifa kwa ujumla

mhhhhh

JF-Expert Member
Jul 21, 2016
240
126
Ningependa kuwaomba maafisa wa hii idara kama kweli ni wataalamu wawe watu wa kutumia lugha zenye staha na weledi wakati wanafanya upelelezi. Pia waache kujiona wao ni miunguwatu maana wanaishi na kufanya kazi kwa kodi za hawahawa watanzania. Most of them especially women are not wise enough.

Let you use professional techniques to get information and you must use professional languages and not just insulting others. Msipobadilika mtapoteza na kukosa ushirikiano kwa wananchi.

Change,CHANGE GUYS THIS IS MR MAGUFULI'S ERROR 'HAPA KAZI TU'
 
Back
Top Bottom